buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Yaani now ni ufala watumishi badala ya kufanya kazi wanawaza event za kusifia.Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?
Ufala ni mwingi utekelezaji zero.
Wanasema Uchawa ulianzia kwa Mzee ila haukua na tija kama huu.
Yaani ule ulikua ukizingua umeenda no matter umechangia nini.
Wanamkumbuka Kangi Lugola na mifuko ya Bendera ya Tz na Song la Magufuli Jembe Jembe.
Kaliwa kichwa alipofeli majukumu.
Makonda walisema hagusiki kaliwa kichwa alivyojaribu kujiingiza uchaguzi na amekatazwa same na Mwanri.
Now kusifia kwanza utekelezaji zero.