Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity 😂😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/DGleEUCsb15/?igsh=YzZwYnR6azZpODJy

Kijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. 😆

Yo, let me tell you something my brother, bongo watu wanazo pesa. Na hatuna jambo dogo. Kuanzia washua hadi uswahilini huko. 😅
 
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara 😂😂😂
 
Hivyo vitu zote huwa wanashangiliaga ni za foreigners mostly, events za kwao huezi ona, them all broke 🤣🤣🤣. Ndio mana anatafuta kivuli ya simplicity.

They even brag of speaking english. Ndio wangekua na events za kifahari huko kwao wangepost kila baada ya dakika mbili.
 
Kuna mkenya nilimuambia kama unataka kuona kipato cha watanzania ingia instagram kwenye pages za event planners, ujenzi, decor na viwanja vya bata aliingia akaniambia watanzania tunaowafikiria sio waliopo 😂😂😂 anasema watanzania hamjui bragging sababu haiwezekani mna maisha hayo na hatuoni fujo social media nikamwambia hatuna ushamba wa maisha 😅 wengi wa wakundustan hawana generational wealth yaani unakuta kama sio mwanasiasa basi ni mchimba chumvi mmoja kazifuma uzeeni basi anataka iwe breaking news worldwide wakati Tanzania unaweza kuta mtu huko kijijini boya boya tu lakini ana utajiri wa hundreds of millions na haoneshi anaogopa sometimes 😅
 
Hutawahi kuona hili jambo bongo
Kwanza kitendo cha mbunge kutangaza tu hivi ataporomoshewa matusi na hiyo post ataifuta 😂😂😂 namuonaga yule chief godlove anasema weka number yako nikutumie hela wabongo wanaishia kumtukana tu wanaowekaga number ni wakenya ndio wanagalagala comment section hizo teni teni ziwafikie 😂😂
 
labda point yangu hukuielewa nilikwambia kugawa mitungi bure sio kuondoa tatizo, tatizo ni bei ya umeme ipungue sana na tozo za gas zipunguzwe kwa kias kikubwa full stop nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu 😂😂😂
Kwani hapo umesoma wamesema watakuja na mpango gani?
 
ChoiceVariable vp naona ndoto ya karikaoo kufanya biashara usiku imekufa au hua tunakurupuka 😂😂😂
View attachment 3253397
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
 
Hapo mkuu unakosea.

Wateja huwa wanakujaga kununua usiku, na mizigo huwa inaingia usiku pia, 24/7 ni muarobaini wa kupiga pesa kk. Wakitoa ulinzi wa kutosha, uchumi utakua sana. Kariakoo muda hautoshi kaka.
 
VIP Pale Kasarani

Image

Technical Bench Section with folded seats.
Image
 
Back
Top Bottom