The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Kuwa makini mkuu, utauziwa mbuzi kwenye kiroba, wakenya washamba sn 🤣🤣🤣🤣🤣Ugliest mabanda, yapo holela tu no order, detention units
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa makini mkuu, utauziwa mbuzi kwenye kiroba, wakenya washamba sn 🤣🤣🤣🤣🤣Ugliest mabanda, yapo holela tu no order, detention units
Huna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DGleEUCsb15/?igsh=YzZwYnR6azZpODJy
Wapumbavu kweli 😂😂 wao mradi nyumba zimepandiana basi wanahisi kisa wanapanda ngazi kuingia ndani kama mzungu basi hayo ndio maisha 😂😂Kuwa makini mkuu, utauziwa mbuzi kwenye kiroba, wakenya washamba sn 🤣🤣🤣🤣🤣
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara 😂😂😂Kijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. 😆
Yo, let me tell you something my brother, bongo watu wanazo pesa. Na hatuna jambo dogo. Kuanzia washua hadi uswahilini huko. 😅
Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
Hivyo vitu zote huwa wanashangiliaga ni za foreigners mostly, events za kwao huezi ona, them all broke 🤣🤣🤣. Ndio mana anatafuta kivuli ya simplicity.Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara 😂😂😂
Ufukara iliopo Kunyaland hawa watu wapo zaidi ya million 70 sio 58 kama wanavyosema
View: https://x.com/MoraraKebasoSnr/status/1895167853692653734?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1895167853692653734%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Kuna mkenya nilimuambia kama unataka kuona kipato cha watanzania ingia instagram kwenye pages za event planners, ujenzi, decor na viwanja vya bata aliingia akaniambia watanzania tunaowafikiria sio waliopo 😂😂😂 anasema watanzania hamjui bragging sababu haiwezekani mna maisha hayo na hatuoni fujo social media nikamwambia hatuna ushamba wa maisha 😅 wengi wa wakundustan hawana generational wealth yaani unakuta kama sio mwanasiasa basi ni mchimba chumvi mmoja kazifuma uzeeni basi anataka iwe breaking news worldwide wakati Tanzania unaweza kuta mtu huko kijijini boya boya tu lakini ana utajiri wa hundreds of millions na haoneshi anaogopa sometimes 😅Hivyo vitu zote huwa wanashangiliaga ni za foreigners mostly, events za kwao huezi ona, them all broke 🤣🤣🤣. Ndio mana anatafuta kivuli ya simplicity.
They even brag of speaking english. Ndio wangekua na events za kifahari huko kwao wangepost kila baada ya dakika mbili.
Kwanza kitendo cha mbunge kutangaza tu hivi ataporomoshewa matusi na hiyo post ataifuta 😂😂😂 namuonaga yule chief godlove anasema weka number yako nikutumie hela wabongo wanaishia kumtukana tu wanaowekaga number ni wakenya ndio wanagalagala comment section hizo teni teni ziwafikie 😂😂Hutawahi kuona hili jambo bongo
Huyo kichaa ni mtu wa kukurupuka,hajui diamond kashinda category gani 😂Unajua Diamond kashinda category gani.? 🤣🤣🤣
Kwani hapo umesoma wamesema watakuja na mpango gani?labda point yangu hukuielewa nilikwambia kugawa mitungi bure sio kuondoa tatizo, tatizo ni bei ya umeme ipungue sana na tozo za gas zipunguzwe kwa kias kikubwa full stop nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu 😂😂😂
Leo ni 28/2 sio 25/2 najua unatamani ishindikane ila ni ndoto za mchanaChoiceVariable vp naona ndoto ya karikaoo kufanya biashara usiku imekufa au hua tunakurupuka 😂😂😂
View attachment 3253397
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.ChoiceVariable vp naona ndoto ya karikaoo kufanya biashara usiku imekufa au hua tunakurupuka 😂😂😂
View attachment 3253397
Utamjua saa ngapi na uko busy unafukuzana na wezi wa kuku?Kama wana album basi haijulikani, ndiyo mana hatujui. Si kwa ubaya.
Hapo mkuu unakosea.Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Unajua nini kuhusu buildings za 20 floors? Kuna any 20 floor in Tanzania being built utuonyeshe?usitudanganye hapa kenge ww hakuna floors za 20 hapo buxton wala hakuna ujenzi wa 20 floors hvi ww unajua 20 floors hua ujenzi unajengwaje???😂😂😂😂😂