Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?
Yaani now ni ufala watumishi badala ya kufanya kazi wanawaza event za kusifia.

Ufala ni mwingi utekelezaji zero.

Wanasema Uchawa ulianzia kwa Mzee ila haukua na tija kama huu.

Yaani ule ulikua ukizingua umeenda no matter umechangia nini.

Wanamkumbuka Kangi Lugola na mifuko ya Bendera ya Tz na Song la Magufuli Jembe Jembe.

Kaliwa kichwa alipofeli majukumu.

Makonda walisema hagusiki kaliwa kichwa alivyojaribu kujiingiza uchaguzi na amekatazwa same na Mwanri.

Now kusifia kwanza utekelezaji zero.
 
Slum+slums =Nairobi
Enjoy.
Roads at Northlands Nairobi
Screenshot_2025-02-28-07-55-00-07_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2025-02-28-07-54-54-52_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2025-02-28-07-54-49-54_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
In kwale a masterpiece of a housing project is taking shape. In no time all towns in Kenya will be bigger than Tanzanian cities
20250228_181624.jpg
20250228_181647.jpg
20250228_181650.jpg
 
Wacha upumbavu Nimefanywa upanuzi! Mwanzo kilikuwa hakizalishi saruji bali clinker tu!
😂😂😂😂😂😂😂 wacha nicheke tu umeelewa nilichoongea nimekwambia hichi kiwanda kipo toka 2020 kinafunguliwa kitu gani
 
Back
Top Bottom