Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A group award doesn’t count on individual! One question btn Marioo na Bien nani anaweza ku-host concert alone? Yaani 2 hours of singing? Mind u Bien hana album!
sometimes tukubali ukweli bien amestahili kushinda na kashinda full stop. mambo ya album sidhani kama yalikua yanaangaliwa zaidi ya live perfomance kwenye jukwaa
 
Nilikua nataka uliza.

Hawa mafala ukiwaambia wanatembelea miradi ya mzee wanang'aka.

Jangwani bridge wamefungua Kimya hakuna kitu.

BRT walisema February ziantua hamna kitu.

Kuna Barabara ya Nyumbani Nyamongo ya Tarime-Mugumu hamna kitu.

Now ni fungua telekeza fungua telekeza kama Ukunyani na stalled projects za jiwe la msingi.

Pia Project nyingi zinasua sua sana kuanzia BRT

Yaani hakuna focus tena ni kurukia kila kitu. Now Pangani wakati ni muda ipo utekelezaji tu.

Siasa awamu hii zimezidi Ongeza machawa waliofunguliwa Booster ndio basi tena.
Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?
 
Nilikua nataka uliza.

Hawa mafala ukiwaambia wanatembelea miradi ya mzee wanang'aka.

Jangwani bridge wamefungua Kimya hakuna kitu.

BRT walisema February ziantua hamna kitu.

Kuna Barabara ya Nyumbani Nyamongo ya Tarime-Mugumu hamna kitu.

Now ni fungua telekeza fungua telekeza kama Ukunyani na stalled projects za jiwe la msingi.

Pia Project nyingi zinasua sua sana kuanzia BRT

Yaani hakuna focus tena ni kurukia kila kitu. Now Pangani wakati ni muda ipo utekelezaji tu.

Siasa awamu hii zimezidi Ongeza machawa waliofunguliwa Booster ndio basi tena.
shida uchawa umekua ni tija kuliko maendeleleo yenyewe 😂😂😂😂
 
Siku wakivuka kuja huku kwetu wanatakiwa wavunjwe miguu na hata kuwauwa kabisa huo ujinga wakafanye huko Uganda
Ndio ndio shirika hilo linalochochea liko Kenya na Anti Eacop figure ni Wakenya.

Usenge mwingi tu. Kisa walishindwa pata. Imagine unaenda andamana Ufaransa juu ya Nchi nyingine?

Wakaandamane kuhusu TAZAMA basi

Kenge wakubwa.

Nasemaje Virungu vitembee akili zikae sawa.

Mijitu hiyo hiyo ndio baadae inawalaumu viongozi hawajui tumia Rasmali, wakijaribu zitumia wanaandamana.

Ndio maana yake!
 
BOT YANUNUA DHAHABU ZAIDI YA TANI 2 | YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI JUU YA UTENDAJI WAKE WA KAZI​

Price of 1 Gram = $92.02
2ton = 91.98 x 1000 x 1000 x 2

Total in $ = 183,960,000.00​

Kenya Paper GDP = 100b mpaka sasa tunaweza kununua GDP ya Keanya

Sources:

View: https://youtu.be/6QHSOakgaZI?si=ZwuqQKMFqLLqM0lB

1740744412119.png

And how does that affect the reality 😂
TUONGELEE MAENDELEO SASA MAANA TUNAKUJUA WEWE. JE NYIE Bank yenu imenunu Gold Kiasi gani?

THE Bank of Tanzania (BoT) has acquired two tonnes of gold for its reserves since July 2024, marking a significant milestone in its domestic gold purchase programme, which targets six tonnes annually.

Back
Top Bottom