Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani Top 10 Artists Kenya 7 ni Tanzanians! Na hiyo ni this February!
Kick of a died horse (Kenya) Sasa hivi wanafanya njia zozote ili kuwachafua wasanii wa Tanzania.

1740680171718.png
 
Kick of a died horse (Kenya) Sasa hivi wanafanya njia zozote ili kuwachafua wasanii wa Tanzania.

View attachment 3252483
Wafanye kwani wameanza Leo? Umesahau December Nairobi walivyomfanyia Diamond? Tangu December mpaka Leo Diamond kaitwa kwenye private performance Mombasa kapewa deal la Airtel for the whole Africa na Jana kashinda Trace award for Africa! Na ka-release around 2 singles zinazofanya vizuri!
 
Wazee wa tandale ni nani anataka kuona picha yangu? Mbona mnahangaika kuitafuta online si muulizie tu, which primitive idiot will go first?
 
Sasa wewe mzee na huyo msichana mdogo ambaye labda hata hajaanza kujitegemea nani yafaa amsikize mwengine? Stop being stupid.
Yani mambo ya strip clubs mnaleta kwenye harusi alafu mnajiona wababe?

Narudia, huo ni upuzi na unafanywa nchi za kimaskini tu. Hadi humu Africa nchi zilizopiga hatua kidogo kama SA, Botswana, Mauritius huwezi pata huu upuzi. Civilized weddings are brief and short. Mbwembwe nyingi hazina maana.
Sa ni njaa mno, na hakuna mshikamano kwa lolote. Ndoa za Tanzania ni mshikamano kufanikishiana, utaratibu na aina hii ya maisha ni Tanzania pekee. Watu wa kila randi na kabila hukutana na kuhakikisha mwingine anafanikisha jambo lake na linafanikishwa kibabae sana. Nyie hamna lolote la kutufundisha kuhusu maisha bora. SA ni ukabila na ubaguzi wa rangi plus umasikini wa kutisha, same kama Kenya.
 
Ulitaka kudanganya nikakuexpose😂😂😂.

Alafu mimi sio Victor, and i’m not Kalenjin. So try again.
Victor, mimi sio muongo na siwezi kudanganya maisha nimeishi. Kupinga nilicho andika ni wazi kuwa wewe ndio muongo na huna uelewa juu wa yale mambo.
 
Mbona tuhangaike wakati taarifa zako tunazo na tunajua pa kuzipata!
View attachment 3252553

Hio inakusaidia aje? Hio ni picha? Si uzipost hapa basi mbona mnapost picha za zamani 😂😂 post it idiot, ama umepata ni private? Send a follow request using a pseudo, i will accept, but remember I am straight sawa?
 
Hio inakusaidia aje? Hio ni picha? Si uzipost hapa basi mbona mnapost picha za zamani 😂😂 post it idiot, ama umepata ni private? Send a follow request using a pseudo, i will accept, but remember I am straight sawa?
Swine,kutoka kukataa sio ww,mpaka kudai picha zinazopostiwa za zamani,***** unaonekana una dhiki balaa,sijui kama hata unaweza kuafford milo 2 hapo kibera
 
Back
Top Bottom