Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
yani mm hua nashangaa sana naskia tanga bodaboda jana wamewekewa mafuta ya elf 5 na posho elf 20 wajaze msafara wa mama, chakula jana kimegaiwa bure kabisa mchana na usiku, maji ya kunywa ya GSM semi trela mbili mpaka watu wanaondoka na carton za maji, hel jana zimemwagwa kama upupu watu wajaze uwanja wa mkwakwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ», bus zakutosha zimewatoa watu vijijini huko naskia mwenyekiti akifikisha watu 10 apige simu gari linakuja kuwazoa kuwaleta uwanjani

swali langu kwann inatumika nguvu nyingi sana sana wakat upinzani wenyewe ni kama hakuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

ChoiceVariable πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?
sheria imetungwa lini wakat agenda ya nishati safi iko toka kwa kikwete hukoπŸ˜‚πŸ˜‚

bunge limezungumza nishati safi zaidi ya miaka 20 haya hio mikakati iko wapi ikiwa umeme tu mpaka leo hauko stable mjini watu wanazima na kukata umeme vile wanavojiskia
 
Hujui kitu wewe hater,sio tuu kutungwa Bali ilishazinduliwa na Rais.
 
Hapo mkuu unakosea.

Wateja huwa wanakujaga kununua usiku, na mizigo huwa inaingia usiku pia, 24/7 ni muarobaini wa kupiga pesa kk. Wakitoa ulinzi wa kutosha, uchumi utakua sana. Kariakoo muda hautoshi kaka.
shida sio kufanya kazi usiku je tumeweka mikakati madhubuti ya watu kufanya kazi usiku hapo ndipo kwenye shida kila mmoja anaogopa kufungua duka usiku, camera zenyewe hata 30 sijui kama zinafikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Hujui kitu wewe hater,sio tuu kutungwa Bali ilishazinduliwa na Rais.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tatizo letu sisi hatupendi ukweli na huo ndio ukweli sasa, swala la nishati safi ni la leo kweli???
 
Unajua nini kuhusu buildings za 20 floors? Kuna any 20 floor in Tanzania being built utuonyeshe?

Buxton is 20 buildings each 20 floors.
unajua foundation ya 20 floors inavokaa ww engineer wa githeri na jabaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hayo hatujawahi yaona Mikoa mingine kote alikofanya ziara kuanzia Moro,Katavi,Rukwa,Ruvuma nk ila iwe Tanga tuu?

Tufanye huko Tanga wamepewa vyote hivyo Sasa shida Iko wapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tatizo letu sisi hatupendi ukweli na huo ndio ukweli sasa, swala la nishati safi ni la leo kweli???
Kuna ukweli upi unataka tofauti na huu mikakati ambao unauliza? πŸ‘‡πŸ‘‡

Aliyekuwa hapendi ukweli Kwa Sasa ni marehemu so usijumuishe wote.

Hater uko out of touch kabisa.
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Ni suala la mazoea tuu Wala halina uhusiano na hayo unayoongea kisa chuki binafsi.

Bado taa hazitoshi na security cameras ndio zinatarajiwa kuanza kufungwa.
Mwisho haitarajiwi movements kubwa za mchana ziwepo usiku,walau half inatosha.
 
Sio hiyo tu, juzi jiwe la msingi limewekwa kwenye barabara iliotakiwa kuisha miaka mi 3 iliopita kule Tanga! Watu hawako serious kabisa!! Kama hiyo barabara ya ilala, kama hawakuwa tayari si wangiacha tu, kuliko kufanya ujinga ule!!
hehehe kaka napata tabu sana kuona kwann nguvu nyingi sana inatumika this time, tunakimbilia kuanzisha miradi ovyo ambayo haimaliziaki leo wala kesho lengo tu watu wapate 10% zao walale mbele πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna ukweli upi unataka tofauti na huu mikakati ambao unauliza? πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 3254295
Aliyekuwa hapendi ukweli Kwa Sasa ni marehemu so usijumuishe wote.

Hater uko out of touch kabisa.
nishati safi mjadala haujaanza leo wala jana toka kikwete wanaongelea nishati safi na nimekwambia kugawa mitungi kwa wachache sio suluhisho, isipokua tulitakiwa kua na mikakati ya kupunguza bei ya umeme na gas yenyewe kabla ya kugawa mitungi bure kwa watu wachache

au kiswahili kigumu mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni suala la mazoea tuu Wala halina uhusiano na hayo unayoongea kisa chuki binafsi.

Bado taa hazitoshi na security cameras ndio zinatarajiwa kuanza kufungwa.
Mwisho haitarajiwi movements kubwa za mchana ziwepo usiku,walau half inatosha.
sasa kama hazitoshi unawaambiaje watu wafanye kazi masaa 24?? yani ni akili ndogo sana, ikiwa hakuna hata traffic usiku wakuwasmamia daladala wanapakia wanaziba njia mpaka kwenye mataa ya msimbazi na hawashtuki hata upige honi 100 hata kama kuna mgonjwa anataka kufa anawaishwa hospitali hawajali
 
Nishati safi ya kupikia champion ni Mama na Sasa ni ajenda ya Afrika

Najua hizi habari zinakujmiza moto il utazoea tuu Hadi 2030 πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndio njia ya kupiga pesa.
 
Hazitoshi sio sawa na hukuna kabisa.Hata hilo la kufunga security cameras na taa Kila Kona ya Nchi ni project ya SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…