Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
Ndugu yangu ichoboy01 uwa anafeli hapo,ile kujibishana na yule chawa ni kama anampa airtime azidishe uchawa wake humu
 
tuulize sisi tuliokuwepo tanga that day tukusimulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

bodaboda wote wameekewa mafuta 5000 na posho elf 20 waongeze idadi ya misafara

watu wamezolewa kila kona ya kijiji na kuletwa uwanjani wajaze uwanja

chakula kimewekwa kushawishi watu waje wajaze uwanja ili wale na maji semi mbili za GSM zilikuwepo zikimwaga maji mpaka watu wanabeba carton za maji kupeleka majumbani kwao

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» eti historia
 
Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
Hadi Japan huko First world kuna wafanyakazi nje wanashindilia watu ili milango ifungeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Lakini KUNGUNI TRANSMISSION Rider aka MATHR3333 anajiona yupo juu πŸ˜‚



 
Lengo ni 2034 by 80% wewe unaongea ujinga 😁😁
Nimekwambia uko out of touch bwana hater
hakuna lengo bila mikakati hata tupewe miaka 100 kama bei ya gas na umeme haitashuka kisawasawa basi sahau hiloπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ruzuku ipo Ili kupunguza bei ya nini? Hater bana 😁😁
ruzuku inasaidia bei gani kupungua so far nakwambia mjini 6kg of mtungi wa gas ni 25k what about vijijini huko ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

so far ruzuku imesaidia nn kugawa mutungi bure kwa watu wachache au niupigaji wa pesa
 
na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

yani nguvu inayotumika utasema kuna upinzani wa kutisha wanagombani points πŸ˜‚
 
Siungi mkono uchawa kaka na sijawahi uunga na ndio maana choisi variabo yupo ignored kwenye IDs zake zote. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo nilikuwa naweka kitu sawa tu.
Mwenyewe nashangaa Kuna watu bado wanajibizana na Huyu mpumbavu
Mm Id Zote zakijinga kuhusu huyu mamayao Nilisha piga Bloq Kitambo kabisa.
Nikiona mtu Anapost Habari sijui Mama kafanya nyoko nyoko Napiga Bloq Upumbavu mtupu.
Kila mmoja Anaona Na Ana akili nchi inavyo kwenda Kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…