Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wacha upumbavu wewe Bien hafikii hata robo ya payment anapata Diamond!Wewe ndio manager wa Bien ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha upumbavu wewe Bien hafikii hata robo ya payment anapata Diamond!Wewe ndio manager wa Bien ama?
Market ina-roof modern kuliko canopy ya kasarani!Sahii Mwanza inazidi kuwa land marks mpya in the city. Mwanza new built market. 👇🏾View attachment 3254943View attachment 3254944View attachment 3254945View attachment 3254946njoo ujifunze Mwana we maandazi nairobae. 🤣🤣
Ndugu yangu ichoboy01 uwa anafeli hapo,ile kujibishana na yule chawa ni kama anampa airtime azidishe uchawa wake humuSielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
Huu ndio mji wa pili kwa ukubwa tanzania?
Tushazizoea hizi ngonjera za mediocres.Huu ndio mji wa pili kwa ukubwa tanzania?
Mnapatanga wapi courage ya ku compete na Kenya? This is like kericho, not even on the list of big towns
Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechimbwa mitaro tuUwanja wa Arusha utafanana hivi kwa karibu. 👇🏾View attachment 3254984kwa muonekano huu, hizi ni standards za viwanja za dunia ya kwanza huko.
Umeendika nini hiki we fala.?Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechim wa mitaro tu
Hata vitu vya kutumia macho?Tushazizoea hizi ngonjera za mediocres.
Ni nani Sasa kama sio Samia? 👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGoQusPMgqp/?igsh=MWRtaWEwOXU0dnBw
Hadi Japan huko First world kuna wafanyakazi nje wanashindilia watu ili milango ifunge😂😂😂😂😂Lakini KUNGUNI TRANSMISSION Rider aka MATHR3333 anajiona yupo juu 😂Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
hakuna lengo bila mikakati hata tupewe miaka 100 kama bei ya gas na umeme haitashuka kisawasawa basi sahau hilo😂😂Lengo ni 2034 by 80% wewe unaongea ujinga 😁😁
Nimekwambia uko out of touch bwana hater
ruzuku inasaidia bei gani kupungua so far nakwambia mjini 6kg of mtungi wa gas ni 25k what about vijijini huko ??😂😂😂😂Ruzuku ipo Ili kupunguza bei ya nini? Hater bana 😁😁
camera 40 ni sawa na million 514 alaf munataka wananchi wachekelee😂😂Ulitaka Nchi ilie? 😁😁
na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu 😂😂😂Please guys huu uchawa tuukemee naona muelekeo mbaya kabisa.
Mama yenu anayeza kupata kura na upendo bila hata uchawa wa kelele. Ikiwa kila anacholenga anakitimiza.
Mama amezungukwa na Controversy nyingi za uuzaji wa ardhi na rasmali na uwekezaji wa kuficha ficha mpaka unatia shaka.
Nidhamu ipo chini ya utendaji, vitu vipo slow.
Kama mna nia ya kumfanya mama apendwe telekeza vitu vyote kikamilifu.
Sio unafungua alafu unaingia mitini kuongeza kero. BRT ujenzi kusua sua huku jijini na barabara zimetifuliwa ni mambo gani haya?
Mkakati wa nishati safi ni mzuri naupongeza. Ila hampo serious kuwaza tozo kwenye nishati safi itakayofanya watu waditch hiyo nishati warudi kule kule.
Punguzia kodi kwenye gari za CNG muone zitajaa, Gesi ni yetu serikali badala ya kutolea mimacho tozo, si iangalie volume ya gesi wanayouza.
Hamjifunzi nchi za Uarabuni na Mafuta yao ikiwa wanauza kwao wenyewe mafuta cheap.
Narudia PUNGUZA UCHAWA, ONGEZEA KAZI NA UTEKELEZAJI.
ONDOA MACHAWA GOVERNMENT WEKA WATAALAMU.
Mwenyewe nashangaa Kuna watu bado wanajibizana na Huyu mpumbavuSiungi mkono uchawa kaka na sijawahi uunga na ndio maana choisi variabo yupo ignored kwenye IDs zake zote. 😂😂😂
Hapo nilikuwa naweka kitu sawa tu.