Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
Ndugu yangu ichoboy01 uwa anafeli hapo,ile kujibishana na yule chawa ni kama anampa airtime azidishe uchawa wake humu
 
Uwanja wa Arusha utafanana hivi kwa karibu. 👇🏾
IMG_5133.jpeg
kwa muonekano huu, hizi ni standards za viwanja za dunia ya kwanza huko.
 

tuulize sisi tuliokuwepo tanga that day tukusimulie 😂😂😂😂😂😂

bodaboda wote wameekewa mafuta 5000 na posho elf 20 waongeze idadi ya misafara

watu wamezolewa kila kona ya kijiji na kuletwa uwanjani wajaze uwanja

chakula kimewekwa kushawishi watu waje wajaze uwanja ili wale na maji semi mbili za GSM zilikuwepo zikimwaga maji mpaka watu wanabeba carton za maji kupeleka majumbani kwao

😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 eti historia
 
Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
Hadi Japan huko First world kuna wafanyakazi nje wanashindilia watu ili milango ifunge😂😂😂😂😂Lakini KUNGUNI TRANSMISSION Rider aka MATHR3333 anajiona yupo juu 😂

IMG_2381.jpeg


IMG_2382.jpeg
IMG_2383.jpeg
 
Ruzuku ipo Ili kupunguza bei ya nini? Hater bana 😁😁
ruzuku inasaidia bei gani kupungua so far nakwambia mjini 6kg of mtungi wa gas ni 25k what about vijijini huko ??😂😂😂😂

so far ruzuku imesaidia nn kugawa mutungi bure kwa watu wachache au niupigaji wa pesa
 
Please guys huu uchawa tuukemee naona muelekeo mbaya kabisa.

Mama yenu anayeza kupata kura na upendo bila hata uchawa wa kelele. Ikiwa kila anacholenga anakitimiza.

Mama amezungukwa na Controversy nyingi za uuzaji wa ardhi na rasmali na uwekezaji wa kuficha ficha mpaka unatia shaka.

Nidhamu ipo chini ya utendaji, vitu vipo slow.

Kama mna nia ya kumfanya mama apendwe telekeza vitu vyote kikamilifu.

Sio unafungua alafu unaingia mitini kuongeza kero. BRT ujenzi kusua sua huku jijini na barabara zimetifuliwa ni mambo gani haya?

Mkakati wa nishati safi ni mzuri naupongeza. Ila hampo serious kuwaza tozo kwenye nishati safi itakayofanya watu waditch hiyo nishati warudi kule kule.

Punguzia kodi kwenye gari za CNG muone zitajaa, Gesi ni yetu serikali badala ya kutolea mimacho tozo, si iangalie volume ya gesi wanayouza.

Hamjifunzi nchi za Uarabuni na Mafuta yao ikiwa wanauza kwao wenyewe mafuta cheap.

Narudia PUNGUZA UCHAWA, ONGEZEA KAZI NA UTEKELEZAJI.

ONDOA MACHAWA GOVERNMENT WEKA WATAALAMU.
na sijui kwann so far inatumika nguvu nyingi sana nastaajabu 😂😂😂

yani nguvu inayotumika utasema kuna upinzani wa kutisha wanagombani points 😂
 
Siungi mkono uchawa kaka na sijawahi uunga na ndio maana choisi variabo yupo ignored kwenye IDs zake zote. 😂😂😂
Hapo nilikuwa naweka kitu sawa tu.
Mwenyewe nashangaa Kuna watu bado wanajibizana na Huyu mpumbavu
Mm Id Zote zakijinga kuhusu huyu mamayao Nilisha piga Bloq Kitambo kabisa.
Nikiona mtu Anapost Habari sijui Mama kafanya nyoko nyoko Napiga Bloq Upumbavu mtupu.
Kila mmoja Anaona Na Ana akili nchi inavyo kwenda Kwa sasa
 
Back
Top Bottom