The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Sawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....Mkuu hivi unajua miradi hiyo yote ilipangwa hata kabla ya ujio wa magu ? Ukitaka discussion nzuri na constructive kubali nasi tutoe negativity za unayemsifia . Hakuna kipya kwa jpm
Jakaya alijenga uchumi na barabaran katika hali ngumu, aliweka kukawa na free of speech bunge likawa moto, kaguzi zikawa moto tutayajua mengi.Machawa achana nao hao, na mm sitoacha kuwakumbusha hata wakijifanya wehu. Hawa ni ma CCM pro yaliyovamia huu uzi, yenyewe yapo radhi hata kiongozi akikosea lkn asiikosoe CCM, ni majitu yanasababisha hali inakuwa ngumu sn kisa yenyewe yanapewa visenti fulani. Hivi mtu mzalendo mwenye akili zako timamu kabisa unaweza kumuweka jakaya kwenye level za Magu, au mama kwenye utwala bora? Kwa kipi hasa? Mambo yapo hadharani huhitaji kwenda chuo, na wajue kabisa watanzania wa sasa sio wale waliowazoea.
Youβre saying this is absolutely normal, you see no issue whatsoever and the guy who posted this alongside the hundreds of supporting comments are just stretching itCoz I know what it's like during off peak.
Masufuria yaleeeee, this is Africa bro, utajificha lkn huwezi kuficha uhalisia, ila niwe mkweli mm mwenyewe haya makofia yananikera sn π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wanakuambia hawavai βmasufuriaβ πππ
View: https://x.com/daguindd/status/1895777789426688354?s=46
Tukishafikaga hapa utaona wanakuambia tusifukue makaburi.
leo nimeanza na huyo chawa na 1 na wengine watafuataMachawa achana nao hao, na mm sitoacha kuwakumbusha hata wakijifanya wehu. Hawa ni ma CCM pro yaliyovamia huu uzi, yenyewe yapo radhi hata kiongozi akikosea lkn asiikosoe CCM, ni majitu yanasababisha hali inakuwa ngumu sn kisa yenyewe yanapewa visenti fulani. Hivi mtu mzalendo mwenye akili zako timamu kabisa unaweza kumuweka jakaya kwenye level za Magu, au mama kwenye utwala bora? Kwa kipi hasa? Mambo yapo hadharani huhitaji kwenda chuo, na wajue kabisa watanzania wa sasa sio wale waliowazoea.
Eti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.Jakaya alijenga uchumi na barabaran katika hali ngumu, aliweka kukawa na free of speech bunge likawa moto, kaguzi zikawa moto tutayajua mengi.
Magu alizuia kaguzi na masuala ya ujenzi akayahamishia ofisi ya rais ili yasikaguliwe, tender nyingi za ujenzi akawa anafanya mwenyewe kwa kutumia kampuni zake. Uchumi ukadorora ila akawapofusha watu na miradi michache sana tofauti capacity ya tanzania
Ukisema haikufanyiwa KAZI inatakiwa ujue Kila mpango wa serikali unaenda kwa awamu.Sawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....
Magu hakurisk chochote mkuu ebu ingia website ya naot pakua ripoti ya 2021/2022 uone maduduSawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....
Eti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.
Hizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.Mimi mpaka Leo sijaona Yale mabehewa ya ghorofa used tuliyonunua mwaka 2019 kwa cash
Huwezi jua umuhimu wa freedom of speech na ndo maana huwez jua umuhimu wa kaguzi na kuwa na bunge lenye menoEti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.
ipiwa zoteHizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.View attachment 3255228View attachment 3255229View attachment 3255231
Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?Hizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.View attachment 3255228View attachment 3255229View attachment 3255231
It's normal during rush hour in all major cities around the world. The guy who posted and others are just like you.Youβre saying this is absolutely normal, you see no issue whatsoever and the guy who posted this alongside the hundreds of supporting comments are just stretching itView attachment 3255200
Maujinga ujinga tu, miradi inaenda slow sn mingine imebaki midomoni hakuna utekelezaji. Tumerudi enzi zile za kusuburi uchaguzi ufike alafu ahadi kibaooo. Hakuna arena itajengwa hapo kwa miaka ya hivi karibuni. Iko wapi renovation ya JNIA terminal 2, si maujinga kama haya?ichoboy01 & co iwafikie hii ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGqLKNEoYqd/?igsh=aTdnZDN1YjE2dXNs
Lete uthibitisho, kwnn unaongea pasipo evidence? Tabia mbaya sn hii.Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?
Is there any stadium in Tanzania that has ever hosted a world tournament event?Haha at what context kwa mfano maana hata kukamilika bado
Naona kuna kondoo anatetea kuwa hizo walizovaa kunyaland drinking force sio masufuria, nimempuuza. πππMasufuria yaleeeee, this is Africa bro, utajificha lkn huwezi kuficha uhalisia, ila niwe mkweli mm mwenyewe haya makofia yananikera sn π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£