The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Sawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....Mkuu hivi unajua miradi hiyo yote ilipangwa hata kabla ya ujio wa magu ? Ukitaka discussion nzuri na constructive kubali nasi tutoe negativity za unayemsifia . Hakuna kipya kwa jpm