Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe baboon tangu lini mkaanza kucheza rugby? Wewe hadi vitu hufai kuongelea unapunilia hiyo midomo yako kubwa.

Alafu rank ndio winning a tournament? Mliwin tournament ya FIFA at position at 106?
They should stick to singing, at least they have best vocalists like Diamond platypus and Marion πŸ˜‚
 
Wewe baboon tangu lini mkaanza kucheza rugby? Wewe hadi vitu hufai kuongelea unapunilia hiyo midomo yako kubwa.

Alafu rank ndio winning a tournament? Mliwin tournament ya FIFA at position at 106?
Mbona kama umekasirika.? 🀣🀣

Umegoma kuleta ranks.?
 
Halafu watu wakadhurumiwa korosho mpaka kesho Kuna watu bado wanadai.
 
Kwani umeambiwa ukipeleka mawese yako pale murzah oil hawatanunua? Hayo mawese wanayahitaji sana kwa sabab ndo yanayotumika kuzalisha mafuta yetu Pendwa.
Kwa hivi unavofikiria bas mpaka Leo tungekuwa tunaagiza mchele toka thailand
 
Kama mbaazi tu kipindi cha magu zilishuka mpaka tsh 200/kg na bado wanunuzi walikosekana.
Vilevile kwenye soya na kadhalika ,
Leo hii maharage yasafirishwa mpaka India huko na bei imepanda toka 1200tsh songea mpaka 2000 na Huwa inafika mpaka 3000 unaanzaje kusema magu aliwezesha kilimo.
Horticulture exports asilimia kubwa zinaenda ulaya na India by almost a half, sasa lini air Tanzania imepeleka mzigo ulaya ukiwa hata kubali cha kutua hakipo?
 
Kuna mabadiliko ya mpaka oktoba 2024 ila wamekaririshwa kuwa magu ndo alifanya mabadiliko.
Kuhusu mazao wanazungumzia eti kulikuwa na walanguzi kwahiyo ikabid jwtz wafanye manunuzi walipopeleka sokoni wakajikuta wanakosa pa kuuzia korosho nyingi ikaharibikia maghalani.
Kimechofanya mazao yapande ni unahisi wa kupata leseni za kuexport na minada ya mazao.
Kipindi cha nyuma wanunuzi walikuwa wanaweka tawi dar na kuwapa mawinga wakawanunulie mazao kukawa na wizi mkubwa sana na kwa sabab mawinga nao walikuwa wanataka faida wakawa wanawanyonya wakulima . Sasa hivi manunuzi ananunulia ghalani Tena akiwa kwa idadi anayoitaka akiwa na bei nzuri.
Maghala yamevutia wanunuzi wengi kukimbilia Tanzania kwa sabab mnunuzi anakuwa na uhakika wa mzigo kuliko kutumia mawinga kama nchi zinazotuzunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…