Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapumbavu sana kuishi kwa Kufake sijui wanakua na maana gani wanafikiri wanajiboost kumbe wanajikaanga sababu number wanazotaja na uhalisia ni mbingu na ardhi, kwa takwimu wanazotoa meanwhile hawawezi hata kulipa mishahara πŸ˜…πŸ˜…
 
Imagine pamoja na Ethiopia kuwa ndio continental aviation hub Africa lakini tumewapita number of international receipts, Kunyaland inayohesabu kila abiria alieboard KQ ni Kunyaland tourist no matter his/her destination ndio wanasema wametupita kwenye tourism πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani serikali yao as long as umeboard KQ wanakuingiza kwenye list hata kama unatoka New York to Nigeria ila tu mlipita naislum kuconnect wewe ni tourist in Kunyaland πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wanakusebu kama ulitumia unstoppable leaking terminals zao hata kama hukushuka kwenye ndege πŸ˜…



View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1090175346626965504?t=aJTp7LvjD3ebLIiYHeRp-Q&s=19
 
I told you I knew your figures could never be correct?🀣
I'm glad they realized their mistake na hata hivo bado I still think your figures are overinflated. Huwezi niambia nchi ambayo airport Moja pekee inabeba over 8M people itakuwa na visitors almost equal to nchi yenye airport zote international kwa pamoja zinahandle 4.7M pekee. Visitors wenu ni karibu nusu ya wetu.
 
I repeat, do you understand the meaning of best performing?
 
Mbeya Bus terminal progress report πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://youtu.be/rX9_qrMnsF0?feature=shared
Kule Arusha Makonda analumbana na Gambo kuhusu kinyang’anyiro cha Ubunge wa Arusha! Yaani kashapata tamaa ya kugombea jimbo la Arusha mjini kisa kaoa huko! Hamna sehemu inahitaji bus terminal ya maana kama Arusha haswa ukizingatia events zinazokuja kama Afcon 2027! Pia kuendane na upanuzi wa barabara Usa River mpaka KIA na kuweka taa Arusha airport ndege zitue 24 hours!
 
What a statement!!🀣🀣🀣
Kwa hivyo hao wanaofanya kazi nje ya kuleta hela nyumbani ni watanzania? How can you be lazy in one hand and at the same time you work extra hard abroad to lead your country's foreign exchange figures?
 
What a statement!!🀣🀣🀣
Kwa hivyo hao wanaofanya kazi nje ya kuleta hela nyumbani ni watanzania? How can you be lazy in one hand and at the same time you work extra hard abroad to lead your country's foreign exchange figures?
2 million diaspora in Arab countries working ass off compared to 60 million zombies under kasongo dictatorship and conmanship is nothing comparable πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/KELVINunlock/status/1896193711308153196?t=xBNDNtbh_Y036TlY8VqiMg&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…