Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.

Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
Wapumbavu sana kuishi kwa Kufake sijui wanakua na maana gani wanafikiri wanajiboost kumbe wanajikaanga sababu number wanazotaja na uhalisia ni mbingu na ardhi, kwa takwimu wanazotoa meanwhile hawawezi hata kulipa mishahara 😅😅
 
Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.

Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
Imagine pamoja na Ethiopia kuwa ndio continental aviation hub Africa lakini tumewapita number of international receipts, Kunyaland inayohesabu kila abiria alieboard KQ ni Kunyaland tourist no matter his/her destination ndio wanasema wametupita kwenye tourism 😂😂😂 Yaani serikali yao as long as umeboard KQ wanakuingiza kwenye list hata kama unatoka New York to Nigeria ila tu mlipita naislum kuconnect wewe ni tourist in Kunyaland 😂😂😂 na wanakusebu kama ulitumia unstoppable leaking terminals zao hata kama hukushuka kwenye ndege 😅

20250303_062824.jpg

View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1090175346626965504?t=aJTp7LvjD3ebLIiYHeRp-Q&s=19
 
NairobiWalker 😁😁😁😁😁 naona Wakunya mumeenda kulalamika kuhusu ranking ,daaa nimecheka sana 👇👇

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896283186604179543?t=JOKGWabzboZxdthnt4CeIg&s=19

Kundustan wekeni Mapato yenu ya Utalii hapa 👇 👇

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896282573523083712?t=xFN9vbhu41Y9a0UdpAqD4A&s=19

I told you I knew your figures could never be correct?🤣
I'm glad they realized their mistake na hata hivo bado I still think your figures are overinflated. Huwezi niambia nchi ambayo airport Moja pekee inabeba over 8M people itakuwa na visitors almost equal to nchi yenye airport zote international kwa pamoja zinahandle 4.7M pekee. Visitors wenu ni karibu nusu ya wetu.
 
Imagine pamoja na Ethiopia kuwa ndio continental aviation hub Africa lakini tumewapita number of international receipts, Kunyaland inayohesabu kila abiria alieboard KQ ni Kunyaland tourist no matter his/her destination ndio wanasema wametupita kwenye tourism 😂😂😂 Yaani serikali yao as long as umeboard KQ wanakuingiza kwenye list hata kama unatoka New York to Nigeria ila tu mlipita naislum kuconnect wewe ni tourist in Kunyaland 😂😂😂 na wanakusebu kama ulitumia unstoppable leaking terminals zao hata kama hukushuka kwenye ndege 😅

View attachment 3257284

View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1090175346626965504?t=aJTp7LvjD3ebLIiYHeRp-Q&s=19

I repeat, do you understand the meaning of best performing?
 
Mbeya Bus terminal progress report 👇 👇

View: https://youtu.be/rX9_qrMnsF0?feature=shared

Kule Arusha Makonda analumbana na Gambo kuhusu kinyang’anyiro cha Ubunge wa Arusha! Yaani kashapata tamaa ya kugombea jimbo la Arusha mjini kisa kaoa huko! Hamna sehemu inahitaji bus terminal ya maana kama Arusha haswa ukizingatia events zinazokuja kama Afcon 2027! Pia kuendane na upanuzi wa barabara Usa River mpaka KIA na kuweka taa Arusha airport ndege zitue 24 hours!
 
Ukiyaita haya majitu ni malezi beyond repair yanachukia less than 3 million diaspora yanafanya kazi kuzidi more than 60 million Kunyalanders in the country 😂😂😂😂

View: https://x.com/DanielN27632792/status/1896185001525526837?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1896185001525526837%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=

What a statement!!🤣🤣🤣
Kwa hivyo hao wanaofanya kazi nje ya kuleta hela nyumbani ni watanzania? How can you be lazy in one hand and at the same time you work extra hard abroad to lead your country's foreign exchange figures?
 
2 million diaspora in Arab countries working ass off compared to 60 million zombies under kasongo dictatorship and conmanship is nothing comparable 😂😂😂

View: https://x.com/KELVINunlock/status/1896193711308153196?t=xBNDNtbh_Y036TlY8VqiMg&s=19
 
Back
Top Bottom