Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Mtanzania anafaidika 100% hapa kumbuka Bamburi cement ndio supplier wa βsimitiβ hapa! Yaani kwa kila ksh 1, 50 cent inaenda kwa mwenye Amsons group!Talanta Stadium.
Inabidi tuwape maua yao naona wameipatia sasa zile glitches sasa tunaanza kuzisahauNdio.
Mtanzania ama mwarabu?Mtanzania anafaidika 100% hapa kumbuka Bamburi cement ndio supplier wa βsimitiβ hapa! Yaani kwa kila ksh 1, 50 cent inaenda kwa mwenye Amsons group!
View: https://x.com/BamburiCement/status/1895020231853998080
Endelea na daily dose!! π€£π€£
Serikali ya Tanzania ina 70 percent of share hapoMtanzania ama mwarabu?
100%!Serikali ya Tanzania ina 70 percent of share hapo