buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Kijana mbona unapenda kujidanganya why hata usigoogle why Mlikosa EACOP?.Tulikosa EACOP because of land issues na sio insecurity, mbona mnapenda kudanganywa? LAPSSET is ongoing well, nyinyi wenye hamna security issues mbona msijenge barabara ya Bagamoyo ?
We are safe thanks to KDF. When last did you hear Al Shaabab bombed Nairobi or Mombasa? It’s more than 10yrs now.
Kwa lipi? Siku tulichukua Kismayu UPDF ilikuwa hapo? Siku ya Afmadhow UPDF walikuwa hapi? UPDF wanauliwe kule Mogadishu kila siku kama mende. When last did you hear terrorism activity at Jubaland? Area controlled by KDF?
General wa jeshi lenu amekaguliwa pale Rwanda kama mwizi, yani hiyo aibu wewe huoni?😂😂😂
Kwani Total wenyewe hawakua wanajua KDF ni mighty?
Sasa Northern Kenya kuna usalama gani?