Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


downloadfile-225.jpg
downloadfile-254.jpg

Kunyan ni wa kuwapuuza,sijawahi kuona watu wajinga kama kunyan,hili ndio life lao halisi sema ukiwakuta wanavyojisifia 😂😂
 
Eti 'ndinga'🤣🤣🤣🤣🤣🤣, sheng ya zamani sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.., miTanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Ndinga ni Sheng? Wewe ni kilaza, wakenya mnachelewaga kusikia hizi slangs za Tanzania halafu zikifika kwenu late mnaona kama ninyi ndio mmezianzisha, kama saivi Kunyaland huko mnaitana mkuu mkuu lakini hilo neno limeanzia humu humu JF long time ago, lakini mkenya aliopo kariobangi anafikiri ni Sheng hiyo, hata mdau etc hamnaga akili ninyi.
 
Back
Top Bottom