Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,444
- 8,769
Kama Alaska ausio 😂😂😂😂Unajifariji au siyo. Tuliwaambia Dom hakuna city itatia mguu East and Central Africa when completed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Alaska ausio 😂😂😂😂Unajifariji au siyo. Tuliwaambia Dom hakuna city itatia mguu East and Central Africa when completed.
'tuta'.... 'ita' chroniclesRais amesema baada ya kukamilisha viwanja vya Afcon kazi itahamia kwenye hivi viwanja vinginevyo so stay tuned
Mmeshabondwa nyie nyang'au mmebondwa tu hata usemeje haisaidii😁Nyinyi mtabondwa na Angola lini bongolala?
Kelele zote zimekuja baada ya kueka hii takakataka wanayoita city. 🤣🤣👇🏾.
View: https://youtu.be/HLZwtMnLWzc?si=F7cD5manE6lGsgxI.
Hii ni Stadium ama swamp?
Hiyo Dodoma ishindane na Vipingo kwanza. Siku itafikia Vipingo then we will start to talk about Tatu, then Konza.Ikila lami hii dom, hakuna kamji ka kuiteteresha kando ya Naipori.
And you believed? Ebu tuonyeshe anybody else talking about it tofauti with that fat idiot. The guy always demonize everything in Kenya. The way I know Kenyans, SGR can’t move a speed of 16km/h na wakose kupiga kelele. Kitu Kama hiyo ingefanyika saa SGR ingekuwa inatrend pale X.
Dinga is a shenanigans word used in Kenya between 1990’s to 2005. Imefika Tanzania Juzi saa hii kila mtu anataka kuitumia.Ndinga ni Sheng? Wewe ni kilaza, wakenya mnachelewaga kusikia hizi slangs za Tanzania halafu zikifika kwenu late mnaona kama ninyi ndio mmezianzisha, kama saivi Kunyaland huko mnaitana mkuu mkuu lakini hilo neno limeanzia humu humu JF long time ago, lakini mkenya aliopo kariobangi anafikiri ni Sheng hiyo, hata mdau etc hamnaga akili ninyi.
Where is water kama ni swamp?Hii ni Stadium ama swamp?
Kumbe huko vipingo ni miji kumbe.? 🤣🤣🤣Hiyo Dodoma ishindane na Vipingo kwanza. Siku itafikia Vipingo then we will start to talk about Tatu, then Konza.
Acha kutaja hizo giant cities in comparison na hii kijiji ya kisumu. Fairly kisumu is two linear streets. It couldn’t get the city status in Tz.Kisumu is better than both Mwanza and Arusha combined.
Eneo hilo linaitwa aje? Ama unaweza tuma picha ya hio eneo iliyopostiwa huku before?Mombasa hakuna sehemu nyingine zaidi ya hii? Maana picha inarudiwa since 2017 mpaka leo picha ni hiyo hiyo moja, ukitoka hapo unaweka zile ghorofa za udongo na banduli mtambo kwisha habari.
hatuongei lugha za kikuda!
Bro this thing is huge! Initially I thought that area was a small space to undertake a project such as a stadium but now that it’s at this level, you realize how massive the structure itself is, especially in person.Talanta Stadium.
![]()
![]()
![]()
Kisumu is bigger than Mwanza. CBD isikudanganganye.Acha kutaja hizo giant cities in comparison na hii kijiji ya kisumu. Fairly kisumu is two linear streets. It couldn’t get the city status in Tz.
Yet mnataka kukwamilia the word ‘Dinga’ which is a sheng word used in Kenya in the 90’s.hatuongei lugha za kikuda!
Amsons is chopping all the money for cement used! Mind u it's Tanzanian company!Bro this thing is huge! Initially I thought that area was a small space to undertake a project such as a stadium but now that it’s at this level, you realize how massive the structure itself is, especially in person.
Some interesting things to note :
1. For scale, The bottom arrow is a truck mounted crane
2. saii ndio wanajenga the outer pillars zile zita support the outer facade or cladding meaning itll appear wider than it already is.
3. The top tier is indicated by the upper arrow, so roof height hasn’t been achieved yetView attachment 3258887View attachment 3258898