Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti 'ndinga'🤣🤣🤣🤣🤣🤣, sheng ya zamani sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.., miTanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Ndinga ni Sheng? Wewe ni kilaza, wakenya mnachelewaga kusikia hizi slangs za Tanzania halafu zikifika kwenu late mnaona kama ninyi ndio mmezianzisha, kama saivi Kunyaland huko mnaitana mkuu mkuu lakini hilo neno limeanzia humu humu JF long time ago, lakini mkenya aliopo kariobangi anafikiri ni Sheng hiyo, hata mdau etc hamnaga akili ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…