Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli manzi siyo neno letu, mi nililisikia US nilipoanza ku hang out na Wakenya. Ila Ndinga ni letu, kumbuka zamani ilikuwa rahisi sana kujua maneno ya Kenya na Tanzania ila siku hizi ni ngumu kidogo. Muingiliano baina ya watu wetu Afrika mashariki umekuwa mkubwa sana.
Hilo neno ndinga naskia wabongo wakilitumia sana. Hapa Kenya Gen Zs hata hawajui Dinga ni Nini. Kwamba matumizi kwenu mmeanza kulitumia juzi juzi ama limekua popular juzi juzi huku kwetu lishaapitwa na wakati. Hata humu JF hutoona Mkenya akisema Dinga ila wabongo wengi utawaskia wakilitumia.
 
Mbona unazungumzia vitu vyenye havijasemwa humu.? 🤣🤣 ni wapi kuna mbongo kataja neno “Dinga”.?
 
Sasa sisi hatuiti “dinga” sisi tunaita “ndinga” tukimaamisha gari. Na hilo ni neno limeshapitwa na wakati huku bongo sahii. It’s an archaic word. Watu hawatumii hilo neno no more. 🤣🤣🤣
Watu hawaitumii yet umeitumia tu jana? The word Dinga started in Kenya then spread into Tanzania.
 
Mpumbavu kweli wewe, neno ndinga limetokea kwenye neno karandinga unakuja na hekaya zako hapa za dinga? Hamna influence yoyote Tanzania mpaka tuchukue maneno kutoka kwenu bali ninyi ndio mnachukua maneno kutoka kwetu sababu ya excessive consumption of our artistic contents

View attachment 3259648
Hata hii pia bado ni sheng of two sheng words combined together.

Karao-Polisi
Dinga/Ndinga -Gari

Karandiga= Gari la polisi. Ama Karao pia ni Tanzanian word?
 
Eldoret Affordable housing. 15 buildings and all of them are over 15floors.

May be an image of skyscraper

1741172993043.jpeg
 
Back
Top Bottom