Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo neno ndinga naskia wabongo wakilitumia sana. Hapa Kenya Gen Zs hata hawajui Dinga ni Nini. Kwamba matumizi kwenu mmeanza kulitumia juzi juzi ama limekua popular juzi juzi huku kwetu lishaapitwa na wakati. Hata humu JF hutoona Mkenya akisema Dinga ila wabongo wengi utawaskia wakilitumia.
 
Mbona unazungumzia vitu vyenye havijasemwa humu.? 🤣🤣 ni wapi kuna mbongo kataja neno “Dinga”.?
 
Sasa sisi hatuiti “dinga” sisi tunaita “ndinga” tukimaamisha gari. Na hilo ni neno limeshapitwa na wakati huku bongo sahii. It’s an archaic word. Watu hawatumii hilo neno no more. 🤣🤣🤣
Watu hawaitumii yet umeitumia tu jana? The word Dinga started in Kenya then spread into Tanzania.
 
Hata hii pia bado ni sheng of two sheng words combined together.

Karao-Polisi
Dinga/Ndinga -Gari

Karandiga= Gari la polisi. Ama Karao pia ni Tanzanian word?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…