Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheka tuu ila juwa dunia ni mzunguko.
Mzunguko wa nini Sasa hapo? 😂😂

Ni matumizi mabaya ya akili kujenga uwanja wa Ndege huko mashambani badala ya irrigation schemes.

Ndege ziende huko Kwa biashara gani hasa? Kuna Madini? Kuna Utalii? Kuna biashara kubwa?
 
Wapi Kunyaland mmeita hilo gari karandinga? Nioneshe sentence 1 tu ya Mkundustan yenye neno karandinga.

Halafu toka lini sheng ikawa kwenye standard dictionary? Sheng imeanza lini na neno karandinga umeanza kulisikia lini?

View attachment 3259804
Vijamaa vinadhani sisi hatujui historia yetu. Ujinga wao wanadhani wanajua kila kitu kutuzidi. 🤣🤣🤣. Sasa Ndio hadi historia kuhusu lugha yetu.? 🤣🤣🤣
 
Wapi Kunyaland mmeita hilo gari karandinga? Nioneshe sentence 1 tu ya Mkundustan yenye neno karandinga.

Halafu toka lini sheng ikawa kwenye standard dictionary? Sheng imeanza lini na neno karandinga umeanza kulisikia lini?

View attachment 3259804
Karandinga is a combined word derived from Karao and Ndinga, nini huelewi hapo?

Karao/Karau - Polisi
Dinga -Gari.
Karandinga - Gari la polisi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…