ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mzunguko wa nini Sasa hapo? 😂😂Cheka tuu ila juwa dunia ni mzunguko.
Ni matumizi mabaya ya akili kujenga uwanja wa Ndege huko mashambani badala ya irrigation schemes.
Ndege ziende huko Kwa biashara gani hasa? Kuna Madini? Kuna Utalii? Kuna biashara kubwa?