Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa hawakubali kushindwa watatafuta tu uongo wowote washindane. 😂😂😂
Jamaa kwa hilo nimewapigia salute 🫡. Wanateteana hao balaa. Hata kama wanajua hicho kitu ni uongo lakini wanakomaa nacho. 🤣🤣 huwa najiulizaga, hivi mliwezaje ku handle watu wa caliber hii since hapo awali.? Seems it was very difficult to win a single discussion.

Mana hata kitu kinaonekana wazi kwa macho pia wanabisha. 🤣🤣
 
Walikuwepo wabishi kuliko hawa na wote walitii sembuse hawa kondoo. 😂😂😂
 
Sijawahi ikia mtu anaita msichana wake 'Manzi' Tanzania. Tuna maneno mengi sana.
NairobiWalker
 
Yaani hawa kundurenda hawakubali kushindwa hata kama wanafahamu wamekosea ukitaka kuwafaham wambie waweke humu standing zao za mabasi watakwambia wanazo ila picha hawana
Huwa hawakubali kushindwa watatafuta tu uongo wowote washindane. 😂😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…