Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upumbavu yani mtu a-import gari Dar port iende Kinshasa kama vile Kinsasha hakuna bandari?
So leo hii mnakana kwamba DRC hawatumii bandari ya Dar? Haya basi tuonyesheni hiyo gari ikiendeshwa Tanzania ama ikiwa delivered to the owner.
 
Kuna mvuta gundi mmoja anasema eti manzi ni neno linalo trend Tz, sisi huku hatutumii hilo neno na unaweza ukalitumia na watu wakakushangaa, huku tunatumia PISI kumaanisha demu.
 
So leo hii mnakana kwamba DRC hawatumii bandari ya Dar? Haya basi tuonyesheni hiyo gari ikiendeshwa Tanzania ama ikiwa delivered to the owner.
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastern DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
 
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastrn DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
Hiyo Tesla Cybertruck ni ya DRC. Kama unapinga Ebu tuonyeshe picha when it’s outside the port but within Tanzanian borders.
 
Acha ushamba wewe fala...

Kama gari ni ya Transit to Congo mbona wameitoa ndani ya Container? Huoni hapo iko under customs verifications?
Goods zote ukaguliwa kwa ports for verification before final destination. Wewe ndio mshamba hapa kuliko wote.
 
Back
Top Bottom