ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So leo hii mnakana kwamba DRC hawatumii bandari ya Dar? Haya basi tuonyesheni hiyo gari ikiendeshwa Tanzania ama ikiwa delivered to the owner.Wacha upumbavu yani mtu a-import gari Dar port iende Kinshasa kama vile Kinsasha hakuna bandari?
Sio lazima mpinge kila kitu. The word manzi saa hii inatrend Tanzania and everybody wants to use it.Sijawahi ikia mtu anaita msichana wake 'Manzi' Tanzania. Tuna maneno mengi sana.
NairobiWalker
Anytime jamaa amepanda basi lazima apige picha atuonyeshe huku. Will I be wrong to think that ameanza kupanda gari hivi karibuni?
Alafu hawa kwann wanaongea hivyo?“Binguni”
Siku atapanda ndege mtatii. 😂 😂Anytime jamaa amepanda basi lazima apige picha atuonyeshe huku. Will I be wrong to think that ameanza kupanda gari hivi karibuni?
Wewe bongolala unaishi dunia gani?
View: https://www.instagram.com/p/DBgT97nN2an/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Achana na ndege, siku atapanda SGR jamaa atatembea uchi. I’m sure background ya huyu jamaa was so humbled that he didn’t get exposed to so many things.Siku atapanda ndege mtatii. 😂 😂
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastern DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!So leo hii mnakana kwamba DRC hawatumii bandari ya Dar? Haya basi tuonyesheni hiyo gari ikiendeshwa Tanzania ama ikiwa delivered to the owner.
Hilo neno utatumia saa ngapi na busy kukimbizana na wezi. Everybody in Tanzania uses the word manzi.Kuna mvuta gundi mmoja anasema eti manzi ni neno linalo trend Tz, sisi huku hatutumii hilo neno na unaweza ukalitumia na watu wakakushangaa, huku tunatumia PISI kumaanisha demu.
Hiyo Tesla Cybertruck ni ya DRC. Kama unapinga Ebu tuonyeshe picha when it’s outside the port but within Tanzanian borders.Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastrn DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
Mbona Kundustan nayo inapewa misaada sana?Nchi ya kupewa misaada
Hiyo Tesla Cybertruck ni ya DRC. Kama unapinga Ebu tuonyeshe picha when it’s outside the port but within Tanzanian borders.
Goods zote ukaguliwa kwa ports for verification before final destination. Wewe ndio mshamba hapa kuliko wote.Acha ushamba wewe fala...
Kama gari ni ya Transit to Congo mbona wameitoa ndani ya Container? Huoni hapo iko under customs verifications?