Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakaelewi chochote kuhusu customs ni kabishi ka kakuzaliwa kachokoraa hako.
 
Maybe kwa ndoto. Ebu tuambie the name of a company making those bullets.
 
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastern DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
Kwa hivo inamaanisha Mcongo hawezi akaimport from Dar? Wacha ufala. Kama kuna Wavumbistan wanaimport from Mombasa na mko na Port zenu.
 
Kwa hivo inamaanisha Mcongo hawezi akaimport from Dar? Wacha ufala. Kama kuna Wavumbistan wanaimport from Mombasa na mko na Port zenu.
Mkongo kutoka kinshasa an import gari kupitia Dar.? 🤣🤣🤣 do you know the distance from kinshasa to Dar es Salaam. Why not using their port.?

Nyie mnatuchukuliaje kwani.? 🤣🤣
 
Mkongo kutoka kinshasa an import gari kupitia Dar.? 🤣🤣🤣 do you know the distance from kinshasa to Dar es Salaam. Why not using their port.?

Nyie mnatuchukuliaje kwani.? 🤣🤣
It’s now Two weeks since hiyo gari ionekane kwa port, Ebu tuonyeshe sasa picha yake ikiwa Tanzania either on the road or parked somewhere.
 
Mbona huwa mkiambiwa ukweli mnakasirika?

Nimekuuliza uniambie purpose za customs verification and why is conducted haujasemaa...

Pia Nimekuuliza, shipping documents kama BL huwa inaweka seal numbers za container. Sasa una fungua container la mteja unakata seal halafu unaweka mpya? Ikitokea shida mteja aka kataa mzigo wake hiyo burden inakuwa ya nani na seal umeshakata!?

Hapa bongo kwa container za Transit zinapita scanner tu kupigwa picha.
 
Ungeuliza tu politely ufunzwe.... Mbona ni kawaida tu sanaa kijana.

Jaribu kutafuta habari za Mzinga Corp. Morogoro.
Nimeangalia na hakuna anything nimeona hapo. Obviously there is no production going on there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…