Mi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
Yaani mpaka leo hujui kuwa @teslacarsonly haina uhusiano wowote na kampuni ya Tesla?π
And who said they do?Yaani mpaka leo hujui kuwa @teslacarsonly haina uhusiano na kampuni ya Tesla?π
acheni uongo ππππ hvi hii tabia ya kudanganya mutaacha lini na munafaidika vp?
kwa kiswahili hicho nikwambie tu asante na karibu jamii forum ππππMi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
Why hasn't Wajackoyah been seen in 'his new' Tesla car in Kenya?And who said they do?
makampuni ya serekali yakufanya hvo yapo mengi tu kaka, kuna suma jkt, NHC, wakala wa majengo, tanroads etcHapo ishu ya misplaced priority naona ina mashiko. Ndio changamoto kwa Nchi zenye uchumi mdogo kama huku kwetu.
Kwa ishu ya kulipa mradi mkubwa kwa installments ni jambo zuri. Naona wangewekeza kwenye utaalam wa watu na mitambo. Ipatikane kampuni kubwa ya serikali iwezeshwe. Ndio iwe inapewa tenda kubwa kubwa za miradi ya serikali.
Tukiwa na kampuni kubwa za wazawa hapa ndani ndio inakuwa vizuri zaidi. Ni kuingia makubaliano na kazi kufanyika. Shida kampuni za nje hizo mambo ni mengi sana.
We kenge unajua akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia.Kwa hivyo huko bongoslum kupanda ndege ni achievement kubwa, lazima mtu apige picha.