ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?Miradi ya BRT inasua sua na kukera.. Yeah ni ishu ya financing na procurement nadhani..
WB akitoa hela anakuwa na masharti ya kuchagua mkandarasi anae mtaka.. Sasa wachina huwa wana lobby... Sio mambo ya 10% kwa watendaji wetu maana hela kwao inapita tu.
Kuna kipindi waziri wa maswala ya vibunda alilalamikia hiyo ishu kwamba wanatukopesha na bado hela wanachukua tena kupitia kampuni za nje. Hapa ndani zinabaki chenji chenji tuu. Ndio maana hata kuwabana inakuwa ngumu maana terms zao za payments zinakuwa hazipo wazi.
ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit
kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???
alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻