Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi ya BRT inasua sua na kukera.. Yeah ni ishu ya financing na procurement nadhani..

WB akitoa hela anakuwa na masharti ya kuchagua mkandarasi anae mtaka.. Sasa wachina huwa wana lobby... Sio mambo ya 10% kwa watendaji wetu maana hela kwao inapita tu.

Kuna kipindi waziri wa maswala ya vibunda alilalamikia hiyo ishu kwamba wanatukopesha na bado hela wanachukua tena kupitia kampuni za nje. Hapa ndani zinabaki chenji chenji tuu. Ndio maana hata kuwabana inakuwa ngumu maana terms zao za payments zinakuwa hazipo wazi.
kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?

ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit

kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???

alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Sasa Wajackoya aende apige picha kando ya gari US ili iweje?
kwani hii picha hapa ni kenya ??😂😂😂
IMG_5058.jpeg
 
Umeona Kenya wapi kwenye hiyo list? When I saw this post from you, I suspected the obvious; haukuelewa hiyo kiingereza ilitumika hapo
Alafu wengi wao hapa including Choice Viariable wanajiita mathematicians and engineers 😂😂
 
Who was that Bongolala who made us laugh the other day?..I posted a Kenyan coffee maker I bought at Walmart and he responded with a sweat shop as a counterattack…It’s like a Kenyan responding to their SGR with Maasai curio market… Tanzanians are mostly clueless… at least most of them . Very few exceptions and far in between.
That was Sama boy 255 aka Baboonman.
 
Hao wote umetaja tulikuwa nao wote hii thread ikianza. I think uzee na upumbavu wa watanzania ndio ikawafanya waachane na hii thread. But guess what, i was here when ichoboy01 was real ichoboy01, achana na huyu wa siku hizi mwenye ameishiwa content. Active Tanzanians by that time were akina @Anneal, tuusan, kadoda na MOTOCHINI.

During that time watanzania walikuwa wajinga zaidi kuliko vile mko wajinga saa hii. There was a time i remember Anneal asking me kama Nairobi iko beaches and Islands😂😂.

All the Tanzanians during that time hawakujua CBD inamaanisha nini and ichoboy01 and Geza Ulole hawakujua kuhesabu floors za gorofa. Tanzanians have really learned a lot from Kenyans in this thread.

Sasa wewe umejoin thread juzi unataka kutuambia vitu i already know.
Kuna wapumbavu wawili mmoja aliitwa @Barbarossa na mwengine Askari Kanzu. Hawa jamaa kudeal nao ilikuwa kibarua. Huyo Askari Kanzu hangeandika more than one sentence na hiyo sentensi yake maneno matatu manne pekee.🤣🤣
 
Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
Hii ndo itatokea na SGR ya kutoka Tabora hadi mwanza huko.
Tungebaki na mkandarasi mmoja tu Yapi hadi akamaliza.

Tatizo ni moja Tz. 10% 10%
 
dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu 😂😂😂
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?

ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku

msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far

etc,


View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3

Mimi naona badala ya kuanza ujenzi wa mwendokasi, wangeanza na flyovers za mwenge, Morocco, Fire, magomeni. Kamata.
Wangeshamaliza sasa. Mwaka ungetosha kujenga hizo flyovers.
Halafu ndo waendelee na BRT sasa.
Vinginevyo tutaseka sana.

Yaani Dar imekuwa hovyo. Ukikimbilia mwendokasi, mabasi hayatoshi, kila siku wanapiga kalenda mabasi mapya.
Ukisema utumie bolt au uendeshe mwenye utakumbana na foleni sio za kitoto. Airport road foleni iko kamata tu, Morogoro road iko fire Magomeni na manzese tu. Na kule kuanzis Ubungo kwenda kimara.
South Kawawa road ni ilala boma tu
Bagamoyo road ni mwenge na Morocco tu
Flyovers kwenye junction zingesaidia sana kuondoa foleni
 
kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?

ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit

kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???

alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

Mkuu, haujanipata vizuri.

Kwenye hiyo miradi na wao wenyewe WB au IMF wanakuwa na kipengele cha kuchagua mkandarasi wao wenyewe. Serikali inabaki kama msimamizi tu. Kama ni ulaji ni hayo makampuni ya ujenzi na hizo taasisi za fedha ndio wanajua namna ya kupiga hizo hela. Na ndio maana waziri kasema inabidi aihusishe foreign affairs kulingana na situation ilivyo.

Hata jangwani, bado hamna kitu japo WB walishasema wanaweka fedha pale. Hizi taasisi za fedha zinatoa mikopo na bado zinakupangia namna ya kutumia mkopo kama ni wamekupa msaada vile. Shida ndio iko hapo.
 
Mwambie, Yaani mpaka leo sijaelewa MK254, mwaswast Jaywatt, Frank Wanjiru Kafrican, Tony254

Walipoteaje. Huyu Teargass alikua anaingia kweli kwa jamaa mwaswast.

Mpaka leo sielewi nini kilifanya abadilike now yupo na black and white. Plus JPM kwa avatar.

Kweli maisha fumbo.
Hao wengi wa juzi tu,
Watoto hawajui miaka hiyo jamiiforums ilikuwa inaitwa JamboForums kabla ya kubadili jina. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom