Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema tu wewe ni mkundurenda kisha ingia kwenye mjadala kwani unaishi slum gani hapo nairopori
Mi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
 
Mi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
kwa kiswahili hicho nikwambie tu asante na karibu jamii forum 😂😂😂😂
 
Hapo ishu ya misplaced priority naona ina mashiko. Ndio changamoto kwa Nchi zenye uchumi mdogo kama huku kwetu.

Kwa ishu ya kulipa mradi mkubwa kwa installments ni jambo zuri. Naona wangewekeza kwenye utaalam wa watu na mitambo. Ipatikane kampuni kubwa ya serikali iwezeshwe. Ndio iwe inapewa tenda kubwa kubwa za miradi ya serikali.

Tukiwa na kampuni kubwa za wazawa hapa ndani ndio inakuwa vizuri zaidi. Ni kuingia makubaliano na kazi kufanyika. Shida kampuni za nje hizo mambo ni mengi sana.
makampuni ya serekali yakufanya hvo yapo mengi tu kaka, kuna suma jkt, NHC, wakala wa majengo, tanroads etc

na ya binafsi ndio mengi zaidi
 
Eldoret, A city in kenya is having it's first traffic lights. Residents watapewa elimu jinsi ya Kutumia.
NB. Kenya is the most technically advanced country in Africa

1741337014154.jpg

1741355625683.jpg
 
Back
Top Bottom