REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Statement ya ukweli sana hii. Wanatengeneza furaha yao kwa vitakwimu uchwara vya kuokoteza kil mahala so long kwamba vinaonesha wapo vizuri or tuko chini.Ungejua quality ya sidewalks zilizojengwa hapo miaka ya 2022 usingeandika utumbo.
Picha yako ni 2020 before even BRT 2 haijapita hapo. Can you show us a latest photo or video of that area in 2025? And nowdays huo mtaa una Dustbins safi kila mahali
Huwa mnatengeneza your own happiness.
Wajinga sana!