Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Sold out wapi? Am sure they are all empty.Acha ufala wewe. Sisi sio nyinyi usilazimishe tufanane mjomba.
Sisi ni communist state bro. Sisi sio mabepari. Mwekezaji mkubwa nchini kwetu kwenye sector ya nyumba ni serikali mwenyewe kupitia mashirika yake kama bile. NHC, Watumishi housing, TBA na NSSF. Majengo yote tunayopost kwa kujidai humu ni mali ya umma.
Yani kila jengo refu bongo ni mali ya serikali. 🤣🤣🤣.
Unasema kawe ni ghost project. .? 🤣🤣 habari za ghost projects tulisahau mzee. Miradi yote hiyo ni sold out. Na sahii tumezindua Samia housing scheme phase 11. 👇🏾View attachment 3278055the idea is to make this place a city with the city of Dar.
You can prove to us with information like this
View: https://x.com/keymanifelix/status/1895099185923338382