Sold out wapi? Am sure they are all empty.Acha ufala wewe. Sisi sio nyinyi usilazimishe tufanane mjomba.
Sisi ni communist state bro. Sisi sio mabepari. Mwekezaji mkubwa nchini kwetu kwenye sector ya nyumba ni serikali mwenyewe kupitia mashirika yake kama bile. NHC, Watumishi housing, TBA na NSSF. Majengo yote tunayopost kwa kujidai humu ni mali ya umma.
Yani kila jengo refu bongo ni mali ya serikali. π€£π€£π€£.
Unasema kawe ni ghost project. .? π€£π€£ habari za ghost projects tulisahau mzee. Miradi yote hiyo ni sold out. Na sahii tumezindua Samia housing scheme phase 11. ππΎView attachment 3278055the idea is to make this place a city with the city of Dar.
Ebu lete view ya chini tuoneAnd I said in Tanganyikans' view no city can relate. This is just Westlands alone. Show me any city with such a view outside the CBD ndio utuambie hiyo keleleView attachment 3278037
Unazijua usd 5b unazisikia tu ndo maana mnaibiwaThe affordable housing Project worth more than the value of all projects in Tanzania. Affordable housing is valued at around $5B.
Huo sisi tunauita urimbukeni yaan kwanini nisiende kujenga bangalow kwa kiasi hichoNi nunue one bedroom apartment kwenye ghorofa la kushea kwa $153,900.00??
Kumbe majengo yamekuwa ni maendeleoActually ziko tu 17buildings in Tanzania that are above 20 floors.
View: https://youtu.be/lHsIRoMtlJY?si=aMWGG8GVIZGdzzMv
Kwahio zile G7 Marcopolo ilikuwa uchawa au? Chinese buses experience ya BRT 1 haijawapa somo?
Wewe hujui anything kuhusu money nyamaza. I can only advise to continue borrowing WhatsApp pictures to deceive yourself.Unazijua usd 5b unazisikia tu ndo maana mnaibiwa
Cities are ranked with how tall or how beautiful the buildings are. So yes, majengo ni maendeLeo.Kumbe majengo yamekuwa ni maendeleo
BRT pekee ndio mtabaki kuringia Mombasa. Apart from that there is nothing else Dar has over Mombasa.
asante kwa render kutoka kwa kasongoπShow us what Dar slum has that can match this.
Affordable housing Kibra Southlands
38 acres
72 Blocks of 17 floors each.
15,000 units, housing probably 40,000+ people.
15% the population of Kibera in one site.
View attachment 3277898
View attachment 3277899
And unlike your Mama Samia "housing scheme" which is constantly facing cancellations and funding challenges for just a handful of projects targeting the high-middle class, Kenya's scheme has so much money we almost don't know what to do with it, storing it instead in treasury bills.
Yeah, it's our hard fought taxes, I know. That's not the point.
Happening in all counties.
Also coming up: Shauri Moyo B Affordable housing.
16 acres
4000 units
View attachment 3277930
View attachment 3277931View attachment 3277932
Sasa maskini kama wewe ni kubabaisha humu. Huna exposure yoyoteWewe hujui anything kuhusu money nyamaza. I can only advise to continue borrowing WhatsApp pictures to deceive yourself.
Building sio maendeleo dogo onesha Baabara na industries ndo zenye multiplier effect kwenye uchumi.Cities are ranked with how tall or how beautiful the buildings are. So yes, majengo ni maendeLeo.
Afike wapi wakati hata athi river hajawi vukaView attachment 3278075View attachment 3278079View attachment 3278081View attachment 3278083View attachment 3278084
Bob ushawahi kufika dar au unahadithiwa tu?
Kama unavoombaga picha za Lamborghini kudanganya ni Kenya sioWewe hujui anything kuhusu money nyamaza. I can only advise to continue borrowing WhatsApp pictures to deceive yourself.
Naona umemrudishia RRONDO Chenchi zake. π€£π€£π€£ dah. Internet never forgets.
Exposure ni kuomba picha WhatsApp? Umaskini ni kudanganya na kitu sio yako. Siku utapata pesa njoo tuongee.Sasa maskini kama wewe ni kubabaisha humu. Huna exposure yoyote
But Mombasa has better infrastructure than Dar. Industries pia Mombasa iko nazo mingi kuliko Dar.Building sio maendeleo dogo onesha Baabara na industries ndo zenye multiplier effect kwenye uchumi.
Nishaisema Niko na Lamborghini? Wewe uliona picha hili ujaribu kushindana na Mimi. Unlucky for you I exposed your liesπKama unavoombaga picha za Lamborghini kudanganya ni Kenya sio
I love my city ila tusijidanganye eti ni sawa na miji ya China, labda China ya miaka ya 80's. Wale jamaa hakuna wa kuwafikia kwa sasa duniani. Ni basi tuu huwa hawajimwambafai.Hii skyline unaeza sema ni miji za china . View attachment 3277361View attachment 3277362π€£π€£π€£