chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Value ya kuchanganya mchanga na cement iwe kubwa kuliko values za projects zinazotumia big international tech companies and high-end engineering and technology know-how. 😂😂😂 wewe Ruto amekuharibuNakatwa Pesa every month for affordable housing. Najua hampendi kusikia ati affordable housing inawaumiza because value yake is bigger than the value of currently ongoing projects in Tanzania.