Kenya ukiondoa Mungu kinachofuata ni UgaliView attachment 3284334
Umekula kwanza
Kenya ukiondoa Mungu kinachofuata ni UgaliView attachment 3284334
Umekula kwanza
Jamaa ni maskini sanaKenya ukiondoa Mungu kinachofuata ni Ugali
Miaka 30 iliyopita hukonioneshe wewe wenyewe kenge wewe kama hayuko kwenye family ya politician unitag hapa 😂😂😂😂😂
bugatti yenyewe ya 2008 alaf unapanua mdomo hapa 😂😂😂😂
Just keep quiet because your airline has never made a profit. Let us enjoy KQ success in peace.Hayo mambo wanafanya hapo KQ ni exotic accounting utajulia wapi wewe mkibera.
Sasa maziwa ni chakula au kinywaji?Si huwa mnasema mnatulisha? Inakuwaje tena mnaimport maziwa, mayai na biskuti kutoka Kenya? Land of milk and honey na mnaimport hayo hayo maziwa?😄😄😄
Define food Geuza ulale.Sasa maziwa ni chakula au kinywaji?
Hayo uliyosema sio chakula ni biburudishoSi huwa mnasema mnatulisha? Inakuwaje tena mnaimport maziwa, mayai na biskuti kutoka Kenya? Land of milk and honey na mnaimport hayo hayo maziwa?😄😄😄
Maziwa ni beverage! Na unless unatuhakikishia hakuna maziwa yanaingia kenya toka nchi jirani, ulichoongea ni ujinga!Define food Geuza ulale.
Hicho kiingereza ovyo kabisa
Kwamba huyo kondoo anafananisha maziwa na mchele/mahindi! 😂😂😂Maziwa ni beverage! Na unless unatuhakikishia hakuna maziwa yanaingia kenya toka nchi jirani, ulichoongea ni ujinga!