babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Imagine hata kusoma hii kipengele na kujiongeza wameshindwa “iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.” SGR gani imefungwa miezi minne! 😂😂😂Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"
Kwa kifupi faida inayotoka sgr ndiyo inaendesha shirika kwa sasa.