ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
Be updated. Tanzania sio kenya...wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza
So kwenye hiyo bar, mijitu hawajawahi kusikia timu inaitwa Gor Mahia, the only regional club with a continental trophy?? Wao wanajua tu Yanga na Simba!!
...mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo
So hao wadau 'wadau' wako hawakujua kwamba Kenya Kuna uwanja wenye capacity ya 60k?🤣🤣
...wakauliza mbona uwanja mbaya hivi?
Kijana wa Tandale, uwanja mbaya aka makwapa ipo Dar na ilishapigwa ban na CAF kitambo sana. Hao 'wadau' wako are they even aware of this?
Bongolala, your desperation levels have hit the ceiling
Arusha mini stadium will not even be better than Musinde Muliro Stadium in Bungoma.Now this is the list of most beautful stadiums EA.
1. Arusha stadium View attachment 3289227View attachment 3289228
2.Talanta stadium View attachment 3289229
3.Amahoro stadium View attachment 3289230
4.Dodoma stadium View attachment 3289231
5.Mkapa stadiumView attachment 3289232
6.Kasarani stadium View attachment 3289233
7.Akii bua stqdiumView attachment 32892348.Amani stadiumView attachment 3289236
And others….
… hapo sijamuonea mtu ukweli wa mambo ndio huo. Cc Teargas. Ukitaka we lia tu. 🤣🤣🤣
Kasarani is better than all the Tanzanian stadiums currently.Huyo kasarani unampaisha bure tuu hamna uwanja hapo
Makwapa imejaa tu simiti with moulds, Kasarani is beautiful with the greenery infused to the surrounding plus the facade is better huwezi sema it was built almost 40 years ago.Haifai kuwa battle lakini heb tulinganishe ili nikutoe wenge. Kasarani. 👇🏾View attachment 3289222View attachment 3289219Mkapa stadium 👇🏾View attachment 3289223View attachment 3289224
Imeamsha aje? Ebu tuambie vile Azam imeamsha mpira wa Kenya.wivu tu unawasumbua ila azam tv ndio kaamsha mpira wenu wapumbavu nyinyi mulikua mumelala usingizini 😂😂😂😂
tena katika watu munatakiwa kuwashkuru na kuwaombea dua ni azam tv
Kasarani inawapea baridi kweli kweli, na imagine bado haijaisha😂😂😂.yani kasarani hakuna kilichobadilika mm naona hata roofing design ni kama mumerudia the same, kazi mbaya na chafu alaf nyinyi ndio wakushindana na tanzania 😂
Nimeipanga mimi. Kasarani is only behind Amahoro Stadium and that’s why mko na maumivu sana.hii list ameipanga nani?? 😂😂😂😂
hya amka ukakojoe sasa utajikojolea kitandania kondooo wewe
Do you have another brain apart from the one you used to type this nonsense?Mnafananisha na na jiji ambalo halina bahari..