1. La liga
2. Seria A
3.Bundasliga
3.Caf Champions League&confederation
4.Saudi Pro league
5.Copa Italia
6.Carabao Cup
7.Kenya farmers league
If Azam was that popular among kenyans as you purport, haungekuwa unaona haya malalamishi. Mimi hata decoder ya Azam sijui inakaajeAnakwambia nobody knows Azam alafu hapo hapo anaweka post wakenya wakilalamika rights za main broadcaster apewe supersport which means so far Azam ndiyo main, huyo mnuka mavi ana wivu na Tanzania sasa muambie Azam atakuwepo hapo kula pesa zao watake wasitake.
Utaumia sana na badohiyo concrete haipewi cladding? hata rangi basi kuficha huo ukurutu?
Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuriIf Azam was that popular among kenyans as you purport, haungekuwa unaona haya malalamishi. Mimi hata decoder ya Azam sijui inakaaje
😂😂😂 Hii ni ya 2017nini kinawashinda hao wenye more bigger base ya subscribers kama DSTV Kenya kununua broadcasting rights za mechi?
How does broadcasting rights improve a league's standard?Hakuna broadcaster alikua tayar kuingia deal na fkf, hata startimes walisitisha mkataba wakaja tz kurusha championship😂😂 Azam wakaja kurescue wakaweka pesa ligi imeanza kuinuka tena
Bila Azam ligi yenu ingekua imekufa coz ilishaanza kuwa chaka la match fixing 😂😂
Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships workAzam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
Wewe ni tahira😂😂How does broadcasting rights improve a league's standard?
Bado utawaskia wakipiga Kelele that Nairobi is not the Regional Headquarters of EA.
View: https://x.com/babalao__/status/1905634457266036753
View: https://x.com/babalao__/status/1905634146543636869
View: https://x.com/babalao__/status/1905635044565135694
😭😭😭Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships work
😭😭Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships work
Bongolala, you don't know anything about football sponsorship. That's all I can tell youWewe ni tahira😂😂
Azam analipa timu zote hapo kijijini kwenu, ndio ziweze kulipa wachezaji na kujiendesha,
We rukaruka kama popcorn. Ila hiyo ndio list ya viwanja vizuri EA. Four of them are from TZ.Arusha mini stadium will not even be better than Musinde Muliro Stadium in Bungoma.
We kweli hujui chochote kumbe, Azam aliingia udhamini na cha cha soka kenya wa 1.3bln pia leopard nao wanaudhamini wa Azam tv.Sema kwa sababu ya ugumu wenu mnaona shida kuwa na ving'amzi viwili Dstv na Azam kama ilivyo Tz.Pia Tz sasa Epl sio kipaumbele chetu ndio maana kila kona watu wako na azam Dstv ziko Hotelini,Bar,restaurants nk..lakini nao wana azam kwa kuwa priority ya watanzania ni Ligi kuu Bara.Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships work
Huyo kwao ni migori anyamaze.Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!😀😀😀😀Ila wakenya ni wangese sana sema amna ela za kununua ving’amuzi viwili For sure mmeonyesha ufukara wenu ulipo nyie si mnajifanya mpo na mapene hahhahaha kilio cha samaki.
News ni kuwa uku Bongo kila nyumba unakuta dish mbili na kuendelea sasa wenye ela na financial strength mmeshindwa.
View attachment 3289821
😁😂😁😁😁😁😂 poor kenyani