Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If Azam was that popular among kenyans as you purport, haungekuwa unaona haya malalamishi. Mimi hata decoder ya Azam sijui inakaaje
 
If Azam was that popular among kenyans as you purport, haungekuwa unaona haya malalamishi. Mimi hata decoder ya Azam sijui inakaaje
Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
 
nini kinawashinda hao wenye more bigger base ya subscribers kama DSTV Kenya kununua broadcasting rights za mechi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii ni ya 2017
A few days ago Supersport announced it's intention to stop broadcasting the Kenya Premier League, KPL. They have in the last few hours terminated their local productions that carried features of the league, Mchaka Mchaka, Simba Super Soka and earlier in the year, Off The Press and Playback. The question everyone is asking is why now after investing in the league for a decade?
 
How does broadcasting rights improve a league's standard?
 
Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships work
 
Ni aibu gani hii. Yani an ambassador representing his/her country's interests in Tanzania chooses to stay in Nairobi and not that glorified fishing village!🀣🀣🀣🀣

Alafu utasikia kauli za 'kama Alaska mwanangu' 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣. Alaska ambayo even ambassadors can't choose to live in! Enyewe Nairobi iko ligi nyingine
 
😭😭😭
 
Wewe ni tahiraπŸ˜‚πŸ˜‚
Azam analipa timu zote hapo kijijini kwenu, ndio ziweze kulipa wachezaji na kujiendesha,
Bongolala, you don't know anything about football sponsorship. That's all I can tell you
 
We kweli hujui chochote kumbe, Azam aliingia udhamini na cha cha soka kenya wa 1.3bln pia leopard nao wanaudhamini wa Azam tv.Sema kwa sababu ya ugumu wenu mnaona shida kuwa na ving'amzi viwili Dstv na Azam kama ilivyo Tz.Pia Tz sasa Epl sio kipaumbele chetu ndio maana kila kona watu wako na azam Dstv ziko Hotelini,Bar,restaurants nk..lakini nao wana azam kwa kuwa priority ya watanzania ni Ligi kuu Bara.
 
Ila wakenya ni wangese sana sema amna ela za kununua ving’amuzi viwili For sure mmeonyesha ufukara wenu ulipo nyie si mnajifanya mpo na mapene hahhahaha kilio cha samaki.

News ni kuwa uku Bongo kila nyumba unakuta dish mbili na kuendelea sasa wenye ela na financial strength mmeshindwa.

πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ poor kenyani
 
Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…