Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila taifa Lina utaratibu wake sisi utaratibu wetu ndiyo huo kuweka walls kwa kila office, tumeamua kubaki na msimamo wetu, usilazimishe sisi tuwe kama nyinyi kwamba kila wanachofanya weupe ndiyo usasa, nyie hamna basics ndiyo mana mnayumba yumba, Leo mzungu akiweka walls na nyie mnajenga, kesho akiondoa walls na nyie mnaenda kuvunja. Taifa la kimavi sn Kenya, hamna msimamo kabisa ******* nyie.
Jamaa ni mbwigambwiga roho ya choyo inamkereketa kuona jiji linajengwa from scratch wakati Rais wao anazindua mitaro! Lazma atoe povu juu ya vitu minor kama ukuta wa majengo!


View: https://youtube.com/shorts/k3mgSuAZ0cw?si=40eEY17S1fRE4Vlv
 
Sijajua ni kwnn tff wanang'ang'ania makocha wa kiarabu, mara Algeria mara Morocco, hii yote ni kukimbia gharama, kwnn wasichukue makocha bora ambao wamefanya vzr ulaya huko?
Wanachukua makocha toka Burundi wakina Ndairagije, Mneigeria Amunike, Algerian Amrouche na Mzawa Hemed Morocco kwakua mshahara unapigwa pasu na baadhi ya viongozi pale. So, ni makocha poa tu wasio na soko la ajira watakubali conditions hizo za kugawana mshahara. Na hili limekuja kipindi cha huyu Wallace Karia.
 
Kila taifa Lina utaratibu wake sisi utaratibu wetu ndiyo huo kuweka walls kwa kila office, tumeamua kubaki na msimamo wetu, usilazimishe sisi tuwe kama nyinyi kwamba kila wanachofanya weupe ndiyo usasa, nyie hamna basics ndiyo mana mnayumba yumba, Leo mzungu akiweka walls na nyie mnajenga, kesho akiondoa walls na nyie mnaenda kuvunja. Taifa la kimavi sn Kenya, hamna msimamo kabisa ******* nyie.

Hakuna haja ya kutetea ujinga na ushamba.

Is Dar slum CBD surrounded by walls? Good thing it grew naturally and was not planned by the average low IQ bongolala 'urban planner'.

Bongolalas have always lacked class. Hamna kabisa. Washamba online na offline. Ati nyinyi hapa JF ndio mmechanuka kidogo 😅😅😅
Offline ukweli ni kwamba akili ya bongo imejaa tu uji. Hakuna ujanja, hakuna chochote cha maana. 😀

I've never heard of your 'unprofessionals' getting big jobs abroad, because the whole world knows that a bongolala PHD is equivalent to a Kenyan Form 4 certificate 😅😅
 
Back
Top Bottom