Sahii bongo unafanya karibu mahitaji yakk yote cashless ni wewe tu ndio uamue kutumia cash..
Ukipanda mwendo kasi
Ukichukua kivuko
Ukilipa nauli kwenye basi
Ukilipa nauli kwenye treni SGR
Bills zote za serikali ni cash less
Kwenye maduka na kiosk karibu zote zinatumia lipa kwa simu.
Pitia hizi videos za Bertin halafu uone ni wapi kalipa pesa mkononi👇🏾.
View: https://youtu.be/ZL4x3SyCaTw?si=_eyHG3Hq4wcpsvzd.
View: https://youtu.be/OEADFXX0hs0?si=NIJiBPYYTkM1NRsu. Halafu unatuambia tupo nyuma yenu.? 🤣🤣🤣 hakunataifa la kuizidi Tz kwenye hili hapa EA.