Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Madaraka yameanza kumnogea!
Lakini ndio ukweli mkuu.Madaraka yameanza kumnogea!
Mgema akisifiwa.......🤣🤣Madaraka yameanza kumnogea!
Tuko hapa 👇👇
Tanzania judiciary building
View attachment 3295460
Vs
Kenya colonial judiciary building 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3295461
Tofauti ni zaidi ya usiku na mchana, huwa najiuliza kodi mnazolipa huwa zinaenda wapi ikiwa majengo muhimu yote ni yale yale mliyoachiwa na mkoloni, hamuwezi kuwa huru ikiwa hamuwezi jenga wenyewe majengo muhimu kama ikulu, mahakama na bunge. Kenya ni hopeless country ever.
Kuna majitu yanaumia, hayana hata jengo moja la mfano Africa View attachment 3295479
Binafsi ninayo ya Airtel. 😂😂😂
Lia zaidii, ju nikama wewe tu ndio bongolala uko in denial. Hata hapa wenzako wamekulenga kwa hii topic. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/111cacti/status/1853709377481420895
Na ulivyo taahira una amini?Safaricom Mpesa transacted Ksh 40 Trillion in 2024.
That's Tsh 832 Trillion.
It has just hit me, that if the transactions increase this year, Safaricom may achieve something crazy.
We'll be able to say that Mpesa transacted more than 1 Quadrillion Tanzanian Shillings.
Wow. Madafu currency on full display.
anachokisema yuko sahihiMadaraka yameanza kumnogea!
Just because you moved into an office complex dubbed judiciary building doesn't mean you are any better. This is what you've called your Judiciary building for the last 60 years
View attachment 3295994
Huwa yanaongea kama yametoka chooni.Na ulivyo taahira una amini?
Kwa mara ya kwanza hawataki data za serikali yao wenyewe 😂😂Huwa yanaongea kama yametoka chooni.
Hawataki data za serikali wanaokota za “Statista” 😂😂😂Kwa mara ya kwanza hawataki data za serikali yao wenyewe 😂😂
kibaha shopping mall over 30km from CBD
View: https://x.com/magogonidaily/status/1909561172019323054?s=46
Mwenye kiti ichoboy01 ni mzalendo haswaa. Lakini saa zingine anakua na siasa kidogo. 😄😄Mbona umepost bango la MAMA mwenyekiti? 🤣🤣🤣🤣🤣
akifanya zuri tutasema zuri akibananga tutasema kafeli 😂😂😂😂Mbona umepost bango la MAMA mwenyekiti? 🤣🤣🤣🤣🤣
Unafikiria Tuko Daresaalam? Kama mnafanya hivyo Dar CBD unafikiria ni kila pahali kuko hivo?😂😂Alafu nje ya mahakama slum dwellers wanauza sukuma wiki, only in Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3296715