Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ujumbe mpe ndugu yako Mwaisa Sadima Dickson arudi kwao atoke kule utumwani, aje afurahie maisha Africa.
Sama boy … am putting up a major home project in Nanyuki on 30 acres of Land… when it’s done , I will post it specifically 4u ..then you can talk more…😁
 
Sama boy … am putting up a major home project in Nanyuki on 30 acres of Land… when it’s done , I will post it specifically 4u ..then you can talk more…😁
Ni mwaka wa tatu huu sijui wa pili tangu uanze kusema hii maneno, iko wapi hiyo project. 😆.
 
Ni mwaka wa tatu huu sijui wa pili tangu uanze kusema hii maneno, iko wapi hiyo project. 😆.
Mwaka wa Pili … be patient my friend.. the oven is still baking the cake . So I hope you have same energy n’ enthusiasm when it’s a wrap .
 
That's an ugly building, I wouldn't even want to be part of.
Wacha chuki zako za kifala wewe, jengo la mahakama TZ ni baya.? Yaani this 👇🏾
IMG_6334.jpeg
kila ilivyo wewe ndio Fetiwap kule YouTube unae comment kwa machungu kwenye kurasa za bertin. 🤣🤣🤣
 
Mzee shukuruni sportpesa ku sponsor timu zenu, wakati walipokuwa Everton na hull city hizo jersey zilivaliwa sana Kenya.
Hehehe eti tushukuru sportpesa acha ufala kwani sportpesa ni kampuni yenu?

Kwani hizo timu zenu chungu nzima hazina Sportpesa ila Fans wanaingia na za timu nyingine?
 
Back
Top Bottom