buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Ninyi mnalipana umasikini tu value za kijuakali wakati Tanzania ni real businesses zinafanyika through mobile money transactions, migodini na online shopping, watanzania wengi wananunua vitu online kuliko Kunyaland, hii tumeileta mpaka kwenu, mnanunua sana vitu from us online, soma comments
View: https://vm.tiktok.com/ZMBCUrBQQ/
Si juzi hapa chuchunge alikua anamuomba Sama boy 255 amtafutie Chupi.