Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Shugulikeni na hii kwanza
tz1.jpg
 
Subiri nielekee Westlands. Nyuma ya yale Majengo ya GTC.

Nairobi kwa ground ni mbovu kinoma. Nadhani kwa East Africa ndo mji wenye poorest Horizontal infrastracture.

Hapo kuna jogoo road ile inayotekea nyuma ya Pipeline ni aibu ya Dunia
Na naambiwa ni highway.
Huyu Governor wao anaconferm na hana hela. Tunaambiwa Nairobi GDP ni $60b more than the whole country of Uganda.
View attachment 3193101

View: https://x.com/bodake_official/status/1910995146851623211?s=46
 
Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob ๐Ÿ˜€
Picha ni ya 90s hyo, si unajua Mwai Sadima Dickson a.k.a mwaiofhawaii ni wa kitambo, alienda US kama mkimbizi kutoka kakuma refugee camp, alijifanya mnyarwanda aliyekimbia mauaji ya Kimberly. Pale kakuma refugee camp kuna wakenya wapo registered kama wakimbizi na govt inajua.
 
Back
Top Bottom