Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob 😀
downloadfile-146.png

Hili zuzu ni kubwa jinga
 
mbona unaficha magorofa ya udongo na slums zilizozagaa mombasa yote 😂😂😂
Hizo slums zinaitwa aje? Hapo hata hakuna nyumba za kuishi brathe hio ni a big market area, kaa chini kwanza ufanye research kabla uje kujiaibisha hapa… kabla nikupe jina ya hio area nataka ufanye research uniambie ni slum gani hio
 
ww unaeza nidanganya nini labda kwa mfano?😂😂

ukitumwa modern city unaeza peleka mombasa?
 
ww unaeza nidanganya nini labda kwa mfano?😂😂

ukitumwa modern city unaeza peleka mombasa?
Kwa hivo hujui. Huna habari hata hio eneo inaitwa aje- kazi tu ni ku mark na red ukisema ni slums lakini Dar hakuna slums 😂
 
Back
Top Bottom