Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona unaficha magorofa ya udongo na slums zilizozagaa mombasa yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizo slums zinaitwa aje? Hapo hata hakuna nyumba za kuishi brathe hio ni a big market area, kaa chini kwanza ufanye research kabla uje kujiaibisha hapa… kabla nikupe jina ya hio area nataka ufanye research uniambie ni slum gani hio
 
ww unaeza nidanganya nini labda kwa mfano?πŸ˜‚πŸ˜‚

ukitumwa modern city unaeza peleka mombasa?
 
Kwa hivo hujui. Huna habari hata hio eneo inaitwa aje- kazi tu ni ku mark na red ukisema ni slums lakini Dar hakuna slums πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…