Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa huyu chokoraa unaanzaje kum-inbox?😂😂😂😂.

Jamaa haogi hadi mwili imeanza kugeuka green with scales all over the body.

View attachment 3306227
Mzee anakoti Moja, katika picha zake zote Yuko na hiki jacket. Camera kwa shingo everytime, uso umefura kama anaugua grave disease kama Vybz Kartel 😭😭😭
 
Mgaaga na umbwa👇👇👇👇
1000005113.jpg
 
Hata wewe unaweza inbox mtu mwenye sura ngumu na mavazi mabovu kiasi hiki.
Hakuna mmbongo tajiri marekani kutokana na nature yao ya kubeba mabox... 😂😂😂😂😂👇
View attachment 3306209
Unaona wivu tu, mwamba katoka kinyamwezi hapo yupo bien, wewe ulituma picha ukiwa Arusha unat.omb kum za 3000 tuliona matako yako yana dots kibao, huwezi jicompare na huyo mnyamwezi apo.
 

4. Swahili Fashion Week & Awards​


Hiki kitu kitawafanya wakenya wazidi kuumia sana. They will never ever reach this level

1744801143098.png


1744801531669.png
 
Makwapa ilikuwa msaada kutoka kwa mume wenu macho madogo mchina baada ya kuona mnateseka sna kuandaa national events. Ccm haina historia ya kujenga uwanja zaidi ya 30k capacity kitu ambacho tulifanya in the 80s
Have you ever heard of CCM Kirumba?
 

Top Night Club Dar es salaam vs Nairobi 🤣 🤣 🤣 🤣​

Tanzania -> ELEMENTS

1744803293107.png


Kenya -> B-CLUB 🤣🤣🤣👇👇👇👇

1744803342986.png
 

Most followed female celebrities on Instagram (Dar es salaam vs Nairobi)​

Dar es salaam - Hamisa Mobetto (12.1M followers) ✅

Nairobi - Lupita Nyong'o (11.3M followers)⛔

Hamisa Mobietto
1744805830690.png


Lupita Nyong'o

1744805884796.png
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=iGY-0b-AKXQ&pp=ygUYS2FtYSBueWVyZXJlIHlvdW5nIGx1bnlh
Wadau wamejua kutumia joka vizuri sana i think Kenyani wakiangalia hii video watauliza hapo ni wapi ila wkiwa wanasoma vibao ndio watajua 😁😁😁 big up lunya na msamiati.

I thought Tanzanias claim originality …so don’t be hypocrites ..this video got “ 🇺🇸 “ written all over it ( from the trap beat to rap mannerisms)…. So juz be real. But I like it though..🤪
 
Back
Top Bottom